Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye ufahamu wa namna ya kudownload nyimbo toka boomplay anisaidie, natanguliza shukurani
1 Reactions
1 Replies
3K Views
wakuuu naomba msaada hii tv ni tcl kama smart ila ina youtube za kichina yan kila kitu hata movie za kichina ni muundo wa smart msaada mana naona sielew ni feki mwanzo mwisho mana ni full kichina
0 Reactions
5 Replies
702 Views
Wanabodi, Heri ya Pasaka, Mara moja moja huwa ninatembelea Kituo cha TBC kwa shughuli zangu, leo Jumapili ya Pasaka nimepita pale na kuushuhudia bonge la OB Van mpya ya Kufa Mtu ikitua TBC...
5 Reactions
53 Replies
10K Views
Mnaotumia Android Mnawezaje Kupakua (Download) Video Clip Huko Instagram Hua Mnatumia App Gani...?
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika maisha yangu, tangu nianze kufanya kazi kama web developer sikuwahi kubahatika kufanya kazi na mtanzania yeyote mbali na ile task ndogo ya Mkaruka ambayo aliileta hapa jamvini inayohusu...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu habari za mida hii, Nina app yangu tayari ipo Play store ila nahitajj kuweka ads za Facebook ila nimeshindwa, mfumo wa app unahitaji matangazo ya Facebook yaunganishwe kupitia iron source...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Language : .py Comment the Answer For Question 1 and 2 I'll Tell if You are Right or Wrong. Hasta la vista geekie.
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Ni ukweli makampuni mengi ya simu yaana ushindani mkubwa sana na kila siku wanapenda kuwaletea update mpya Ili kufanya simu zao ziwe bora zaidi kiulinzi na vitu vingine. Lakini hapo hapo...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
[emoji3531]
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Wandugu habari Natumia iphone8 shida nayopata ni Mwamba nikiwasha data huwa unapata sana joto… tatizo inaweza kuwa nini wajuzi wa mambo Naomba msaada wenu
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Hello wajuzi wa mambo, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, kutokana na hali ya hewa nafikiria kufunga mfumo wa AC nyumbani (sebuleni) kwa kuanzia. Hata hivyo nimekuwa nikisikia mengi, mf; AC...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa naomba mnisaidie filta nzuri ya camera ya iphone! Naona wenzangu wakipiga picha zinakua nzuri ila mie na iphone yangu natoka kama nilivyo! Naomben msaada nidownload filter moja matata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam wanajukwaa wenzangu, Nimekuwa nikitumia startimes app kuangalia matangazo ya mpira live lakini napata changamoto ya kuona picha ndogo kwa sababu sipati full screen, nifanyeje wadau? Mwenye...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Redio ya kwanza inayotumia Mfumo wa Mawimbi ilianza kurusha Matangazo Mwaka 1895 baada ya Mvumbuzi Guglielmo Marconi kutoka Italia kufanikisha zoezi la Redio hiyo kusikika katika eneo la Kilomita...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
1 Reactions
15 Replies
903 Views
Habari za muda huu wanajamvi! Ningependa niende moja kwa moja kwa mada husika pasi na kuwapotezea muda wa kusoma makala ndefu wakuu najua mmechoka na usiku huu Nahitaji sticker za kubandika...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Habari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata? maeneo nayafahau ila sijui exact place
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Alipigiwa na wale matapeli wa mitandaoni wakampiga hela kwa kujidai namba yake inafungiwa kwa sababu inatumiwa na watu wawili na pia kuna hela imekuja kwake akafata maelezo akatapeliwa. Pia, Kuna...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu, Miaka kadhaa iliyopita niliajiriwa, nikafungua akaunti ambayo inaniwezesha kuangalia mshahara wangu na makato mengine kwenye mshahara wangu. Imepita miaka kadhaa Sasa tangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TOFAUTI KATI YA IP CAMERA NA ANALOGY CAMERA ANALOGY CCTV CAMERA CCTV kirefu chake ni Closed-Circuit Television,Ni mfumo wa kukusanya taarifa za picha za video katika eneo Fulani kwa kutumia...
16 Reactions
27 Replies
11K Views
Back
Top Bottom