Habari,
Kila nikifuatilia tangu uzinduzi wa samsung s23 jukwaa limekua kimya sana kuhusu hizo simu mpya. Kwa maoni yenu je, Samsung wameboresha katika upande gani wa hizo simu?
Au hakuna...
Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni...
Nimegawa Brands katika makundi mawili. Kundi A na kundi B. Nimezingatia ukongwe au Umaarufu duniani katika makundi haya na Bei zake.
A.
Samsung
Panasonic
Sony
Hitachi
JVC
LG
SANYO
( TCL na...
Wakuu nipo na tablet Nokia T20 tablet hapa, nilikuwa naistall programs kwenye hii tablets..sasa nimepata shida jinsi ya kuiafany hii tablets niweze kupokea na kupiga cimu, pia kuweza kutumia...
Salaam,
Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara.
Hii...
[INTERNET] Network Error: A connection attempt failed because the connected party did not properly respond after a period of time, or established connection failed because connected host has...
Wakuu habari za jioni poleni/hongereni na shughuli za hapa na pale naomba kuuliza yoyote ambae ana duka la accessories za simu au anafahamu napoweza kupata hizi lightining wired earphones original...
Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao...
CHAJA hiki ni kifaa unachokitumia kujaza kifaa chako cha umeme baada ya nguvu ya betri kupungua.Vifaa vya umeme vitumiavyo chaja viko vingi vifuatavyo ni baadhi tu mfano;simu ya mkononi, tablets...
Wakuu habari ya nyie, straight to the point, nna mpango wa kuchukua PC itakayo weza kufanya majukumu yangu ya hapa na pale, main role ya PC yenyewe ni ku browse internet, reading documents na...
Nilihisi shock kidogo nilipokuwa nikichomeka bulb kwenye holder yake richa ya kuwa switch yake ilikuwa OFF. Nikahisi switch itakua closed hata kama iko off.
Nikachukua tester ambayo iko rated...
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.
Zikiwa zote ni gb 516 internal storage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.