Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wajuvi mimi ni mpenzi wa kutazama movies zenye sabtitle ya kingereza kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload kwenye simu na kisha ionyeshe kwenye TV. Huwa ninadownload movies kwenye simu kisha...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Simu yangu ninayotumia wiki kama mbili zilizopita mtoto aliiangusha ikawa imeckrack kidogo ila nashukuru haikuwa na effect yoyote, ila nashangaa leo asubuhi nmeamka naona brightness inashake shake...
0 Reactions
5 Replies
717 Views
Kama kichwa cha Habari kilivyo wengine sio ma expert sana jinsi ya kupakua game kali online Ila mie natafuta wajuz na wapenz wa hili game la "FOOTBALL MANAGER " nataka nijue jins la kulipata free...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Msaada King'amuzi cha azam kinaniletea ivyo shida ni nn Shifa nyengine nikijaribu kusearch zinakuja channel za startimes sijajua shida ni nn wakati mwanzo zilikuwepo channel za azam
0 Reactions
3 Replies
643 Views
naomba msaada nina lenovo yoga tablet,upande wa keyboard haifanyi kazi full maana ilipata crack,upande wa tablet ya kutouch ni nzima,sasa nineambiwa kuwa unaweza kuweka keybord mpya,mwenye ujuzi...
0 Reactions
5 Replies
504 Views
Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I. Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba...
0 Reactions
3 Replies
360 Views
Habari members, Hivi kuna siri yoyote, anayejua kuhusu TV hizi brands kubwa maarufu na za kati kuwa kwenye box za kaki na maandishi meupe then na zenye sifa zile zile kuwa kwenye box za rangi...
0 Reactions
4 Replies
515 Views
Naweza pata wapi na kwa Tsh ngapi battery ya Laptop aina ya ASUS 550L
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B. Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B. Nimepitia maelezo mitandaoni...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna anayeweza kunisaidia hiyo software please anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Wakuu habari ya nyie naamini mko good kabisa, straight to the point, kuna kimeo hapa cha iPhone SE kina run IOS 14.3 nahitaji kukitoa iCloud lock nimejaribu kuki jailbreak kimekubali issue ilo...
0 Reactions
5 Replies
743 Views
Wakuu msaada kuna aliyewahi kutumia j box ku bypass iCloud vipi ufanisi wake kabla sijanunua wakuu
0 Reactions
3 Replies
285 Views
Wadau hivi ni kweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu? Note: Flash ambazo ni ORIGINAL. Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Hii ni namba ya mtandao gani hapa tanzania????
0 Reactions
17 Replies
49K Views
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii. Mfano: Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu nina Samsung A30 Ina tatizo la Kuvibrate na Kujizima mwenye Uzoefu na Simu Hizi naomba anielekeze, tatizo huenda litakuwa ni nini??
0 Reactions
2 Replies
674 Views
Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya. Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Back
Top Bottom