Nahitaji usaidizi...pc yangu dell mini kila aina ya usb nilizojarib hazisomi zinachaji tu. Namaanisha data cable halafu nikiwasha inachukuwa muda mrefu sana kuonyesha window ili niweke nywira...
Habari kwa wana bodi wa Jf,
Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Hivi majuzi nilikuwa najaribu kuingiza vitu kwenye flash yangu (8Gb) baada ya kumaliza nilirejea nayo nyumbani.
Kimbembe...
Wakuu naomba kueleweshwa kwa wenye uelewa juu ya hili, nimekuta namba yangu ya simu imewekwa kwenye call forwarding to +255128 & +255121 ilihali sijawahi kumpa mtu simu yangu aishike, mwenye...
Wapenzi wa Redmi phones mbona kama redmi note 12 ina specification za kawaida sana kuliko predecessors wake yani note 10 na note 11? Au tusubiri kwanza global version?
Specification za kawaida ni...
Tangu tarehe 5 walipoachia .iso ya win11 ambayo wengi tulikuwa tunaisubiri kwa hamu nilifanikiwa kui install.
Baada ya siku mbili zakufanya majaribio ilibidi niitoe nirudishe win21H1 sababu ikiwa...
Naomba kuuliza, hivi kuna online meeting ambayo unaweza kuamua ni nani awe kwenye meeting?? Maana mfano Microsoft teams yeyote mwenye app ya Microsoft teams akitumiwa link anaweza akajoin meeting...
Habari nimeona ni share na nyinyi hii,
Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix...
Bram alizaliwa mwaka 1975 huko Dream country USA huku baba yake ni mwandisi wa kompyuta na mama yake ni mwalimu.
Baada ya kufikisha miaka 5 Bram alikuwa amewiva kujua lugha za huandisi wa...
Katika utafiti wangu nmegundua watu wanaomiliki simu za tecno wamezidi kupungua siku hadi siku. Japo kuna wale wanaotumia tecno zilizochangamka kama ifinix nk.
Hii imeenda sambamba na kuongezeka...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kutinga kwenye uwanja, nimekuwa nikicheki interviews za lisaa ama zaidi kwa bloggers waliofanikiwa na kiukweli natamani walau nipate walau hata theluthi ya...
Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi?
Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya...
Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech.
Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina...
Nuru ni lugha ya programu ya Kiswahili. Inafanana na lugha zingine kama python na javascript, tofauti ikiwa imetengezwa kwa Kiswahili.
Lugha hii imetengenezwa ili kuwawezesha wazungumzaji wa...
Habari wana jamvi,
Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail...
Splinter Cell Konviction ndo ilikuwa game yangu ya kwanza kucheza kwenye Xbox kwa ndugu yangu mmoja hivi. game ilinivutia sana maana walikuwa wamebadilisha mfumo .waliocheza vitu kama Chaos Theory...
Kuna simu nilikuwa nayo ikapotea na lain Kila kitu.
Ila baada ya kupata simu nyingine nikawa nahitaji kurudisha baadhi ya account ikiwemo ya Twitter pamoja na Whatsapp.
Kwa mfano nimejaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.