Salaamu,
Nikiri kwamba kuna changamoto katika kujua simu gani bora ya kununua kwa ajili ya matumizi yako. Changamoto hizi zinatokana na sababu kadhaa, mfano;
1. Uwepo wa kampuni nyingi...
Habari wana JF,
Kuna mdada fulani tulizoean hivi karibuni tu aliniazima simu yangu akidai kuwa simu yangu imezingua nimuazime kwa muda.
Nilimuazima kama kwa siku 2 lakini cha ajabu jana...
Wakuu Namba maelekezo Kwa anae ijua Kampuni ya ads ambayo inaruhusu kuweka matangazo katika blog zenye Free domain.
Nimekutana na Blog zenye Free domain ya Blog.com
Jamaa wameweka ads Maisha...
Habari zenu wakuu ?
Matumaini yangu mpo salama na afya njema!,
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kushare ujuzi tulio nao ili kuweza kufaidi chaneli za FTA kupitia sattelite mbalimbali,
Tuanze na...
Habariiii viongozi baada ya kufikiria kwa sana nataka kuanzisha tovuti ambako watu wenye addiction mbalimbali watakutana na kujadili nini cha kufanya hasa kwa lugha yetu hadhimu
Addiction kama...
Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe.
Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na...
Habari wana JF
Naomba kufahamu ni wapi naweza pata mafunzo ya computer graphics online au phisical kwa mkoa wa Morogoro....
Nataka kujifunza muda wa ziada sababu mimi ni mtumishi wa umma...
Asante
Wakuu habari zenu. Bila shaka Mna furaha kwasababu Manchester united jana imeshinda.
Nilikuwa naombi ambaye anaweza kunisaidia kufix ili Tatizo.
Pc yangu Aina ya Dell latitude 4300 nikiplay...
Toleo jipya la WhatsApp (toleo la 2.23.1.23) katika mfumo wa majaribio (Beta); inaonekana app ya WhatsApp
itaongeza emoji mpya kwa watumiaji wa Android.
WhatsApp imeanza kuongeza emoji 21 katika...
Habarini wadau!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ni kuwa nikazichanga kidogo nikatafuta mziki wangu uwe unanifariji kidogo ni Sony nz950 watt 1000.
Ajabu ni kuwa siku naunganisha mziki...
Tafadhali kwa mwenye pc yaina tajwa hapo chini anicheck.
Core i3
RAM 4G
Hard drive: 1t
Inaweza DELL,HP au Lenovo. nikipata price ya hizo aina zote itakuwa sawa.
Jamani Mimi ni mwalimu by professional na nilipata kazi Ila nimeamua kuiacha maana sipo interested na ualimu kabisa , Ila nahitaji kujifunza Programming kwa manufaa yangu binafsi na kizazi changu...
Siku njema wana jf
Nataka nihamie kwenye nyumba isiyo naumeme na kwasasa hali yangu kifedha si njema sana, Nahitaji mfumo wa solar utakaoniwezesha kuwasha taa 4, kuchaji simu na kuangalia tv...
Habari wakuu 🖐️,
Kama ilivyo kwenye title hapo juu, naomba kwa mwenye kufahamu namna ya kuboost tangazo Facebook anipe maelekezo jinsi ya kufanya.
Nawasilisha.
Habari wana jamii forums poleni na majukumu, Mimi ni member Mpya na ni post yangu ya kwanza. Natamani kujifunza kitu kuhusu hili swala kwa wanaofahamu.
Kwa Sasa gharama za bundle ziko juu sana...
Hello experts,
I am living in a place where there is a wifi from a certain company but it has a password and the company can't give me the password.
I need help on how can i get the password of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.