Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
SOLD
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Habari wanajamvi, Msaada mwenye uwezo wa uelezea vizuri kuhusu concept ya ip helper, atakuwa amenisaidia sana!!! Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Naomba msaada kwa yeyote mwenye software za ku flash smart phone. Nahitaji ku flash VIVO Y1S
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu natumai mu salama!! Mwanzoni wa mwezi huu nimebahatika kuipata Samsung Galaxy S10 plus. Nimepitia sites nyingi nimeona hii simu imekuwa top rated kwa ubora kwa 2019. Lengo la uzi huu ni...
7 Reactions
91 Replies
15K Views
Ndugu wana JF naomba mnisaidie kwa yeyote anaejua setting ya sehemu ya top scores kwenye DLS 2023 haifunguki
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Waheshimiwa 43+ heshima kwenu, wadogo chini ya 40 mnisalimie Aisee kama uzi unavyosema nategemea kuingiza fiber ya TTCL na 20mbps shared. Professionally ni mtu wa IT Mbali na kuiunga kwenye tv na...
2 Reactions
110 Replies
15K Views
Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Pc yangu inakaa sana wakati wa kuiwasha baadhi ya time shida nini?
1 Reactions
4 Replies
867 Views
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa nina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari. Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram. #META imeunda timu ya...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Hivi kuna application au namna yeyote ya kuona maneno ambayo yamekuwa bolded na rang flan yasionekane kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
598 Views
Kwanini Simu za google pixel hazioneshi icon ya sauti/vibration/silent pale kwenye notification bar(pazia) au inahitaji setting?
0 Reactions
8 Replies
748 Views
Habarini wana jamvi, kuna mtu anazifahamu simu za Bontel A8, Ufanisi wake ukoje? Naamini nitapa taarifa zake kutoka kwenu.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
Baada ya kujikita kwa muda mrefu kwenye budget smartphones, kampuni ya Motorola inayomilikiwa na Lenovo Group imezindua rasmi smartphone flagship yao inayoitwa Motorola Edge 30 Ultra. Smartphone...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Wapi naweza ipata kwa hapa Dar? Inaitwa hand concrete au paint mixer.
0 Reactions
10 Replies
862 Views
Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello bosses..... Musk alikosea sana kufukuza fukuza watu hovyo, mm shabiki yake lkn kwa hilo alikosea, makampuni mengi yamefanya layoff ila yanaenda polepole sio kwa speed ya kufukuza watu wengi...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Habarini! Napenda kujifunza Visual Basic Programming hasa kwenye Excel VB. Naombeni kama kuna mtu anaijua vizuri anisaidie hata kwa kuchangia kidogo. Akanifundisha through zoom au WhatsApp. Nipo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom