Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za muda wakuu nimetokea kuvutiwa Sana na brand za Xiaomi kuna hii Xiaomi mi 9 SE mwenye nayo amabayo IPO clean condition aje DM tuyajenge Zaid Happy new year there few hours hours remain
2 Reactions
12 Replies
935 Views
Wengi wetu tumekuwa tukinunua simu bila kujua tunaenda kutumia kwa ajili gani. Yani unakuta mtu ana simu, tablet na laptop vyote ukimuuliza hana jibu. Sio kosa kuwa navyo ila je unatumia kwa...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
PC yangu imeharibika housing. Nikiifunga na kufungua ndio inazidi kuvunjika. Je, ni wapi naweza kupata housing mpya au used? (Ni housing ya plastic) Makadirio ya bei ni kiasi Gani? Na gharama za...
0 Reactions
4 Replies
702 Views
Jamani nimehangaika sn kupata hili game. Naomba mwenye kupata maana huwa napata trial tu Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Habari za muda huu wajuvi. Nawasilisha hii changamoto japo simu imenunuliwa mkononi bila kujua tatizo naomba msaada niweze kulitatua. Matatizo yake ni muda mwingine inaleta notification ya No...
1 Reactions
2 Replies
338 Views
Habari wanateknolojia. Karibuni Ozone Technologies mjipatie vioo vya laptop. Vioo vyetu ni vipya, na vyenye ubora. Ukinunua kioo kwetu, Tutakupatia na ofa ya kukufungia bure kabisa. Bei ...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimenunua SIMU vivo x9, inakamata mtandao mjini tu kijijini haikamati, pia laini zote zinakubali kasoro tigo. NAOMBA wajuzi mnisaidie
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Some P2P programs automatically share everything on your computer Thousands of Americans may unwittingly be sharing personal medical and financial information stored on their home computers...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini. Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba. Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na...
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari wataalam, Naomba msaada simu yangu kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na instagram kuna baadhi ya maandishi hayasomeki inatokea alama tu kama zinavyoonekana kwenye picha hapo chini.
0 Reactions
5 Replies
425 Views
Kwa wale wasiopenda vyakulipia baasi infinityfree.net ni host bora ya bure ukiplus na subdomain kama hii tangatalk.epizy.com na nyinginezo nyingi
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china. Nokia 6 Specifications: 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3) 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)...
33 Reactions
372 Replies
44K Views
Okay wakuu, nimejaribu kudownload hizo setup kwenye pc maana nahitaji kufanya update ya driver kwenye pc lakini naona hizo nilizodownload zina mambo ya kulipia. Sasa nauliza je kama kuna njia...
1 Reactions
6 Replies
912 Views
habari ya mwaka mpya wakuu, nimekutana na SAMSUNG used from dubai bei nafuu kidogo mana zile fullbox bei zake ni "sugunyo" itanilipua, nimefanya ka udadis zile simu zina dot. naombeni wenye...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hellow guys, Msaada kidogo; nataka niwe natumia iMassege tu, yaani mtu akitaka kunitumia text most awe na bando kama ana bando zisifike kwangu. Anayejua ku-set, please.
1 Reactions
45 Replies
1K Views
Jana nimeangalia event ya uzinduzi wa galaxy S22 kiukweli hakuna cha maana sana cha kumfanya mtu atoke S21 ultra kwenda S22 ultra. Kama ilivyokua kwa iphone 12 pro vs 13 pro kwa hii model ya...
9 Reactions
83 Replies
11K Views
Salaam wakuu Naomba mwenye link ya KineMaster apk tafadhali ili niinstall kwenye simu yangu maana nimejaribu kudowload inakubali lakini kuinstall inagoma Sent from my 2201116TG using JamiiForums...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Acheni kabisa kuhusu huu mtandao. Aliyeutengeneza huu mtandao alikaa chini na kuumiza sana akili. Yaani ndani ya TikTok kuna vitu amazing. 1. Movie kama zote, yaani ukiuliza hii movie inaitwaje...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Back
Top Bottom