Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Au ni kwangu tu DSTV inachelewa sana kuwaka yaani inachukua dakika hadi 3 hivi na mbaya kama mpira unauwahi unakuta goli sijui nini jamani nifanyaje nirekebishe au
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wanabodi, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimenunua simu (Pixel 6 pro) kutoka ebay.. wakati nanunua muuzaji alidai kwamba simu ni Open Box na haijawahi kutumika na ni UNLOCKED. Simu...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
“The phone is not running Samsung’s official software. You may have problems with features or security and you won’t be able to install software updates” Je hakuna madhara yoyote kwa baadae? Je...
0 Reactions
4 Replies
441 Views
Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Tv yangu ilipata dhoruba ya kwenye kioo kweka hili wingu japo picha zinaonekana ila ni kero. Kwa mafundi naomba kujua kama linatengenezeka.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtanzania mwenzetu abuni umeme utokanao au kwa kutumia sumaku? sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo? na je hakuna kabisa chanzo kingine cha energy kama mafuta, upepo , au hata...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Glyphosate has already been proved to spread into the ecosystem, and now has been detected in wildflowers and pollen.TPRI and TBS please take immediate action. Thursday, January 26, 2023...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi. Vilevile sound engineers...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Yani hata hizi gb 60 kwa mwezi kwangu ni ndogo najibana, ingekuwa najiachia basi kila nikitoka kazini navyopumzika kwa saa nikimruhusu mtoto acheki katuni zake kwenye Netflix 4k kwenye tv basi...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Wale wa FIFA 22 na Mortal Kombat...na wale wa hii michezo ya Online kupitia kampuni na platform mbali mbali.. ukiachana na teknolojia inayotumika,kuna utofauti gani watu wangu?
6 Reactions
6 Replies
581 Views
wadau habari,ninaomba msaada kila ninapotaka kupiga simu kwa kupitia mtandao wa voda kuna maandishi yanatokea yameandikwa ACM limit exceeded,naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuondoa tatizo...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kituo cha Mtandao cha Kitaifa cha Uingereza (NCSC) kimetoa angalizo kwa watu wa tasnia hizo kufanyiwa udukuzi wa kijasusi kwa lengo la kukusanya taarifa mbalimbali Imeelezwa wadukuaji wanawalenga...
0 Reactions
1 Replies
557 Views
Naomba msaada wa kupewa contact information ya fundi/garage nzuri yenye kifaa (computer) kwa ajili ya kufanya On-Board Diagnostic kwa Subaru Forrester. Taa ya check engine imekuwa inawaka kwa wiki...
1 Reactions
33 Replies
11K Views
Natumai mu wazima, naombeni ushauri. Lipi jiko bora kati ya haya Home base na Mr UK? Wazoefu wa haya mambo naombeni msaada ndugu yenu nimekwama, kwakuwa wengi humu ni wajuvi wa hizi mambo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam wadau, Natafuta, screen replacement ya ULEFONE Note 11p ( Ulefone Note 11P - Full phone specifications) , hii ni baada ya kioo kilicopo kuacha kufanya kazi baada ya simu kuanguka...
1 Reactions
2 Replies
333 Views
Habari wadau, Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase. Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Habar wadau !!! Hope wote mpo poa niende moja kwa moja kwenye mada nadhani wengi kati yenu mnatuia outlook na karibu ofisi nying zinatuia outlook for person and office work Mi kinachoniudh...
0 Reactions
4 Replies
655 Views
Tv ilipata hitilafu ya kioo (ona picha) kupata wingu linalokera japo picha na sauti vinapatikana Mafundi, je lina utatuzi?
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Habari jamii forum... Mwenye ujuzi wa kupata GADGETS za saa na calender katika window 10 kama ilivyo katika window 7... Please....
1 Reactions
5 Replies
367 Views
Nahitaji kuagiza Alibaba kamera ya kupiga picha za mnato na video namm sio mzoefu sana ila kwakua najifunza nimeona ni bora niwashilikishe. Pesa sio tatizo ila nimeingia mtandaoni nikaona Canon...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom