Mada yangu ya leo itaenda kwa wale wapiga picha za sherehe au shughuli, wauzaji wa camera pamoja na watumiaji wa Camera (sio camera za kwenye simu)
Nimepanga kununua Camera kwaajili ya matumizi...
Mimi ni wakala wa mitandao ya simu, eneo nililopo lina wateja wengi hivyo kuna uwezekano wa kuhudumia wateja zaidi ya 150 kwa siku, shida ni kwamba huwa nakuwa na uraratibu wa kurekodi meseji zote...
Habari zenuu
Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani.
Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma)...
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Oxford Insights inayoonesha Utayari wa Serikali za Nchi 181 duniani kuruhusu Teknolojia ya Matumizi ya Akili Bandia (AI), umeiweka Tanzania katika nafasi ya 14...
Wakuu habari za saa hizi...
Naombeni msaada wenu,
Nilikua nabadili taarifa za simu yangu coz mtumiaji anaenda kuwa mwingine nilichokosea ni kucancel kabla sijamaliza kujaza detail ikawa...
Welcome to DoSomething.org, a global movement of millions of young people making positive change, online and off! The 11 facts you want are below, and the sources for the facts are at the very...
Habari wanaJF,
Sometimes nakuta missed calls [emoji338] kwenye simu yangu ila ni namba angu nayoitumia inapiga kwa SIMCARD hii hii au ingine yaan laini ingine iliyoko kwenye simu yangu.
Tatizo...
Wakuu nina swali hapa, juzi Kati nilikua nimechil zangu nisema ngoja nitupie picha. Sasa nimeshindwa kuelewa kabisa wakati naangaika kujipiga, nikaona kama inashek shek hivi yaani nikama zile TV...
Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer.
Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa...
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika...
Tangu nianze kutumia hii simu ya Sumsung A23 Na Waya wa type C upande wa kuhamisha data umekuwa Changamoto kwangu tofauti na Kawaida.
Msaada tafadhali.
Habari za leo wandugu!
napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu.
kwa kipindi hiki cha...
Wakuu,
Nafikiri kwenda kununua simu, bajeti yake iko around 300k to 400k.
Hapa najiuliza wapi nikanunue, Kariakoo au Mlimani City?
Vitu vya kuangalia;
• Simu na bei
• Usalama wa simu
• Kupigwa...
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na...
Habari za asubuhi wandugu poleni kwa majukumu ya hapa na pale Mungu atawapigania Siku yenu itakuwa njema kabisa.
Tuwaombee Dua wagonjwa wote waweze kupata nafuu na kurejea kwenye shughuli za...
Hello bosses,
Kwenye maisha mara nyingi tunaamua kufanya kitu fln au kujenga hobby fln kutokana na kuona mambo yanayotuhamasisha kufanya hivyo.
Kwa wale coders, hackers au IT professionals ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.