Hello If you want to know anything concerning any profession, then you are free to ask I will give the correct answer right here.
Your question must be clear and short.
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuchagua laptop ya kununua
Processor, Storage,RAM, Display, Graphics n.k
1.Processor
Hapa ndo kwenye performance nzima ya kompyuta yako Ni namna kompyuta...
Habari za kwenu,
Wale wadau wenye project za Electronics pia na za telecommunication
Hata It ambazo hazijaendelezwa kwa sababu mbalimbal n pm ukitaja project title yako na approximately cost ya...
Wadau nina Samsung galax A50
Hii simu bana nikienda sehemu ya baridi ina ji freeze kabisa yaani ina ji restart kila wakati yaani kifupi haitaki baridi kabisa msaada wadau nifanyeje?.
Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia.
Je, wewe unasemaje?
Tuwasaidie watakao drop baadae😊
Habar Wadau[emoji114][emoji114]
Hapa Ofisin Director General ametununulia Kifurushi cha Unlimited kwa mwezi Mzima hivyo nikiwa sina kazi huwa naingia Web mbalimbali maisha yanaenda.
Sasa Kuna...
Hbr za majukumu ndugu zangu nahitaji kuweka apple id mpya maana iliyomo nimesahau password na password wanataka wanitumie kwny namba ya cm ambayo siitumii muda Sasa na aliyenisajilia hayupo Kwa...
Kimekaa kama kichwa cha chaja kina port ya type C ila sijajua kinakuwa kinapokea moto kutoka kwenye chaja za type C au inakuwaje?
Na kikipokea huo moto kinafanyaje?
Nimejaribu kukichaji na...
Habari zenu Ndugu Zangu Wapendwa, Matumaini Yangu Kuwa Mnaendelea Vizuri Katika Kusukuma Gurudumu La Maisha.
Nahitaji Msaada Wa Kujua Ni Chimbo Gani Hapa Mjini(Dar) Wanapotengeneza Key Holders Za...
Habari wana JF leo nimejitolea hii siku kuwa online kwa ajili ya kuwekana sawa kuhusu Adsense.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi nyingi kuhusu Adsense,Hivyo...
Habari wadau naomba msaada jinsi ya kuset adsense account. Nimeunganisha na you tube channel yangu nimejibiwa hivi mara mbili kila navyoconnect. Msaada tafadhali sijui nakosea wapi.
Msaada tutani waungwana.
Hapa ni screenshot ya Simu iTel A58 - android kwa juu:
1. Kushoto juu ni saa 22:19
2. Kinachofuata ni ki icon cha nini na kinatoka vipi?
3. Kinachofuata ni...
Nina tatizo nahitajia usaidizi Simu yangu haisomi line ya Airtel na imetokea kukata mawasiliano ghafla tuu kwani mwanzo ilikuwa unasoma vizuri kabisa
Card slot ya simu iko sawa maana line...
Kampuni ya Nokia imefanya mabadiliko ya mwonekano wa logo yake. Design ya logo ambayo imekuwa ikitumika tangu mwaka 1966, japo ilikuwa inabadilika kodogo (mwaka 1992, 2006 na 2011); kampuni ya...
habarini ndugu....
natafuta sehemu ama chuo cha kusoma mambo ya information security hapa tanzania hasa dar es salaam.
natanguliza shukrani
naombeni msaaada wenu
Habari wadau
Naomba kujua kwa wataalam, hivi kama mtu amebadilisha namba za simu lakini akasajili namba mpya kwa majina yake, ie katumia ID yake naweza nikamtrack kupitia ID namba mfano Nida...
copy paste fb, ila naisapoti
Kuna kitu nataka niweke clear once and for all, Kumekuwa na upotoshaji mzito kwamba Pure Mathematics ya A-Level inamuandaa vema mtu kusomea degree ya IT / CS and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.