Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
  • Poll Poll
MAANA YA ku-ROOT ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze...
8 Reactions
155 Replies
28K Views
Wakati nipo chuo kuna watu walikuwa wanasumbua sana na subwoofer zao mpaka wanawake nikaona huu ujinga sasa kila mtu subwoofer la kichina nikapata wazo la kutengeneza mziki mkubwa sana wa kuunga...
6 Reactions
27 Replies
7K Views
Habarini wakuu, Katika pita pita zangu nkakutana na habari ya wingi wa satellite angani lakini nyingi ni za nchi zilizoendelea huku kampuni ya elon musk ya starlink ikiongoza kwa kua na wimbi la...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui...
1 Reactions
6 Replies
656 Views
Msaada, niko nataka kununua friji ya Hisense, nimepata hawa jamaa wanasema wanakuletea hadi nyumbani. Sasa sina uzoefu nao na nina hofu nisiletewe kitu ambacho sio original. Maana nimeulizia...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa. Mfano Tigo wana post paid...
22 Reactions
82 Replies
13K Views
Wadau wa mambo ya network, nataka kununua hiyo router, vipi maon yenu inafaaa kwa matumizi ya ofisini na zipo vizuri za hivi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Question Question
Naomba kuuliza ni faili lipi zuri naweza tumia kufrash simu aina ya infinix
1 Reactions
1 Replies
290 Views
Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwanza nikushukuru KakaKiiza kwa uzi wako jinsi ya ku quote majina hapa JF. Sasa kuna hili jingine la ku highlight kwa rangi mbalimbali maneno kwenye post ambayo ipo quoted. Hili nalo lipoje wakuu?
10 Reactions
5K Replies
305K Views
Habari. Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nimeintegrate Mpesa Payment gateway kwenye PHP app. Nimekuwa nikitest C2B single charge scenario kwa almost wiki 3 huku nikiendelea na development bila shida. Sasa kuanzia juzi...
3 Reactions
6 Replies
687 Views
Wakuu nauliza sumsung hizi ultra namba zote Bei zake zikoje nataka niingie uko.
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Msaada wakuu Kuna mtu yeyote amewahi Tumia Xiaomi Redmi 8a? Vp kuhusu uborawake? Nataka kuagiza china kupitia WeChat
2 Reactions
66 Replies
4K Views
simu yangu ni samsung a71 5g inanigomea kuninstall gbwhatsapp baada ya ku update rom kwenda android 13!msaada jaman kama kuna njia ya kufanya. MSAADA WATAALAMU PLEASE
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii 5G ya tigo inashika wapi na wapi mbona sie tunaoshinda city centre na masaki hatuioni au geresha? Fanyeni kweli kama ya voda mpaka buza inashika
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salam wakuu, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kuna mahala hapa mjini Dodoma nilienda , katika kupiga story mbili tatu na wana kijiweni, jamaa wakawa wanalalamika kwamba mkoa wa...
6 Reactions
24 Replies
6K Views
Nahitaji MS Office kwa ajili ya MacBook? PM kama unayo na gharama kwa ajili ya installation
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Habarini wakuu Nimewatengenezea MS Excel add-in ambayo inakusaidia kufanya translation, mfano kuna wakati unaweza kuwa na column ambayo ipo na rows nyingi ambazo content zake zipo kwa kiingereza...
3 Reactions
1 Replies
637 Views
Salaam wakuu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale katika hali ya kuhakikisha kinapatikana chochote kitu. Turudi kwenye mada, Umeshawahi kudukuliwa au kusikia mtu amedukuliwa kimtandao...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Back
Top Bottom