Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
https://fast.com/ Yangu hio
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jinsi ya kutumia tovuti ya #midjourney kutengeneza picha za hatari: 1. Jisajili kwenye Discord.com. Hakikisha una verify email yako. 2. Ingia midjourney.com alafu utengeneze account yako kwenye...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
App inaitwa dynamic spot hii inawafaa wale wanaopenda kulemba mionekano ya simu zao
0 Reactions
1 Replies
393 Views
Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari wakuu humu JF kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kuelekezwa jinsi ya kulifungua game hili la PPSSPP Nimeshindwa kufungua na kuanza kulicheza. Picha ya kwanza baada kufungua App inafunguka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello bosses, Niko hapa na-code huku naangalia Azamtv, kiukweli wana graphics kali sana. Sasa nikawa najiuliza hivi hio speed ya transmission inachezea kwenye mb/s ngapi kwa sababu nikisema...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana jf habari za muda huu Tumeni project za kiuhasibu kama template za kuandaa bank reconciliation, cash book, payment voucher, etc yaani yoyote tuone Kali ni ipi?
0 Reactions
3 Replies
596 Views
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu ninahitaji kioo cha simu Redmi 8. Kama unacho tuwasiliane.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau!! TV yangu aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde halafu inazima na haioneshi picha kabisa tatizo limeanza leo majira ya saa 5 asubuhi Tatizo linaweza kuwa ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Project Kuiper ya Amazon ambayo itatoa huduma ya mtandao kwa kupitia satelite inatarajiwa kuanza kazi 2024. Huduma hiyo itakuwa na spidi zifuatazo. Standard 400Mbps Ultra-compact (Dish ndogo) 100...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari zenu wana-technologia!, Nahitaji kuIntergrate Mobile Application yangu na Mfumo wa malipo, ikiwa namaanisha mteja aweze kulipia kwa mfumo wa USSD. Naomba msaada nifanye nini? Natumia...
1 Reactions
5 Replies
824 Views
Hello bosses. Wale wapenzi wa mchezo wa karata aina ya Arubastini nmewatengenezea hili game. Kwa upande wa LASTCARD nalo nitaliweka playstore hivi karibuni. Download kutoka playstore (search...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Wazee habari za kutwaa...... Naomba nisaidiwe shida tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani. Ahsante.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimeona watu wengi wanatumia PC ambayo inahitaji window activation, sasa nikaona niwafahamishe namna ya kufanya activation. Ili kuactivate window 10, fuata hizi steps 1. Nenda kwenye search then...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama unataka kumiliki simu nzuri na yenye uwezo mkubwa basi jambo la kwanza la kuangalia ni processor kwenye ulimwengu wa simu hufahamika kama SoC (System on Chip). SoC (system on chip) ni...
16 Reactions
22 Replies
7K Views
Gordon Moore amefariki ijumaa 24.03.2023 akiwa na miaka 94. Moore alianzisha intel mwaka 1968 akiwa na mwenzake Robert Noyce. Kabla Moore aliwahi kufanya KAZI kwenye kampuni ya Shockley...
3 Reactions
7 Replies
692 Views
MUONGOZO WA KUFANYA ILI COMPUTER YAKO DESKTOP AU LAPTOP IKUITE JINA PINDI UNAPOIWASHA (IKUKARIBISHE). Habari za weekend wana IT..? Naamini kila mmoja angependa kuona pc au computer yake ikimuita...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello bosses... Kama kichwa kinavyosema naomba watu wanaofanya jogging au mazoezi ya kutembea kunisaidia kutest hii app. Ni very simple kutumia, app inapima steps ulizotembea au kukimbia...
4 Reactions
10 Replies
519 Views
Back
Top Bottom