Habari Wana jamvi,
Pengine Kuna mahali nakosea naomba kuelekezwa vizuri nafanya activation ya windows 10 pro. Lakini inaniambia .... Unable to activate windows.
Nikiweka key napata huu ujumbe...
Habari zenu wakuu hapo nyuma kulikuwa na idadi ya watu tofauti tofauti walikuwa wakitumia Your Freedom kwa kulipia.
Hasa kwa mtandao wa Tigo na Ttcl. Nilitaka niilipie ila nilitaka nijue kwanza...
MAAJABU YA GOOGLE SMART LOCK !!
Kuna wale watu wanawekaga password kwenye simu zao alafu wanasahau kabisa wanajikuta wanataka kufuta Kila kitu kwenye simu zao [emoji3] bila kupenda ??
Relax...
Habari za usiku wakuu...
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja..
Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na...
Jana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
Mtanzania Deogratius Mosha, ameibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha uvumbuzi kwenye teknolojia kwa wavumbuzi wenye umri chini ya miaka arobaini kutoka barani Afrika, maarufu kama Forty under 40...
Habari wanandugu Natumaini ni wazima
Naomba Nsaada wa Kusaidiwa namna gani naweza kupata huduma ya kufungua internet cafe na shida yangu kubwa ni upatikanaji wa data plan mzur yani mtandao upi...
**Important
Twitter does not sell the blue Verification badge. A Twitter employee will never ask for financial compensation in lieu of a badge or as part of the application process. Twitter does...
Kama kawaida bosi hachoki kaanza kupiga spana modification za whatsapp akianza kwa kishindo na gb whatsapp na anakupa onyo la kwanzia saa moja ukikaidi anatafuna namba yako kutumika katika...
Wakuu, poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Na waliopo safarini loliondo poleni sana. Naomba mnisaidie ili niwe napata email notification kwenye cm yangu NOKIA E61i. Nimejaribu setting...
Habari wakuu
Naomba mwenye solution ya hili
tatizo anisaidie tafadhali
Nimesubscribe nyuzi kadhaa
Ila nikifungua mahali pa
notification nakuta "no
notifications"
Natanguliza shukrani[emoji120]
Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)!
Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa...
Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge...
Habar wadau
hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua...
Habari Wana Jf,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Mfano nataka kufungua ofisi/cafe,niweze kutoa na huduma ya wifi pia.Kwa uzoefu wako,ni ISP gan ungependekeza kuomba huduma husika?
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.