Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
1) Identify element of process operator overloading 2) Expalain stream unary and binary operators
2 Reactions
6 Replies
420 Views
This post intends to show the origins of Nuru, its purpose, what it can be used for, what it should not be used for and the potential future of the programming language. Background This language...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari mkuu. Naendelea kujifunza na kuwa Inspired sana na hii kitu AI, Midjourney, kadiri inavyobamba na kuzisogeza kwa karibu tasnia mbalimbali, hapa naweza kuzungumzia tasnia ya picha na...
3 Reactions
4 Replies
628 Views
Logic level: Logic level ni nini? Logic level ni kiwango maalumu cha voltage au kiasi maalumu cha voltage signal/ mawimbi ya umeme. Logic level ndo hupelekea kompyuta au mfumo wowote wa...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani. Nina akaunti twitter. Nimekutumia miaka mingi. Mie sio mtu wa kuandika andika sana. Ila huwa naweza kumjibu mtu. Siku moja maria teshai aliandika kitu mie nikatofautiana nae. Akaniblock...
1 Reactions
2 Replies
286 Views
Wakuu salaam Kama kawa mishe zinaendaje huko? Wakuu nani anaweza kutumia function ya VBA vizuri kwenye excel? Katika kujifunza baadhi ya tutorials za Excel Youtube nikakutana na hicho kitu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa mtembeleaji wa hii forum kubwa kabisa nchini Nigeria kama sio Africa kwa miaka mingi sana sasa Kinachonishangaza ni kwa nini hawataki kuifanyia mabadiliko ya kimuonekano kama...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini wakuu.. Kuna hilo Jambo ambalo lipo na limetokea Kwa wengi ambapo unajiunga kifurushi aidha Kwa tigopesa au salio unakatwa pesa tigo wanarudisha msg kuwa tayar wamekuunga halafu kumbe...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kenya kesho wanazindua na kurusha Satellite yao walioipa jina Taifa-1 na ikumbukwe Kenya wana Laptops na desktops zao zinaitwa taifa. Tanzania haieleweki katika uga wa elimu,katika ukuaji wa...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Nataka kutumia sd card kwenye radio iliyokuja na gari (original) lakini nikiinsert napata mesage kuwa sd card haiko compatible na hiyo radio nataka kujua hizi sd card ziko tofauti tofauti? Mbona...
2 Reactions
7 Replies
511 Views
Habari wanajamvi, nahitaji kujua Kwa hapa Tanzania wap wanafundisha kutengeneza canvas pictures na wallpaper za majumbani. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
5 Replies
402 Views
msaada wenu wakuu. nahitaji link ya kudownload torrent itakayoniwezesha kuidownload hii windows10 image bila shida. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
iPhone XR 128gb clean no problems , True Tone na Face ID . Battery 89% charge full day ni wewe . Price : 500k Reasons for sale : upgrade Ila ni simu nzuri Sana Comes with og usb charge...
0 Reactions
4 Replies
824 Views
Wakuu kwenye mahangaiko ya uwekezaji nkakutana na hii kitu inaitwa 5glife hawa bwana idea yao ni kwamba una invest base station na cycle kwa siku 60 base ya 18k ina rotate 60k kwa 2months Yan siku...
0 Reactions
16 Replies
833 Views
Wakuu habarini. Majuzi nilinunua Speaker za Logitech 5.1 hizi speaker mwisho zina pins 3 (Nyeusi, Orange na Kijani) hizi Pins zina Size ya pins za PC headphones / EarPhones. Halafu nikanunua...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naombeni kunijuza izo picha mbili chini ni tofauti lakini zinatoa information ya kitu 1 yan ni hivi ninasimu ya Oppo A 83 ambayo storage ya ndani inaonesha 128GB ram6 lakini ukiingia gsmrena...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nipo ofisini katika kampuni fulani. Ninapitia wakati mgumu sana kwani meza yangu ipo angle mbaya sana. Boss wangu ambaye ni CEO wa kampuni anaona kila kitu nachofanya kwenye PC...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua...
4 Reactions
8 Replies
599 Views
Jamani nahitaji kufahamu, nina simu ya Oppo A83 ina Ram6 na storage 128 lakini kinachonishangaza ukidawnload fail la file manager linakuonesha 64GB ndo storage, sasa sijaelewa hapo nisaidieni wajuzi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari zenu wakuu Natafuta hiyo routor ya Alcatel Linkhub HH41 inatumia sim card kama kuna mdau Anajua duka linalouza anijuze nimetafuta sana kariakoo na posta hakuna mi nipo Dar-es-salaam
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Back
Top Bottom