ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi...
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach...
Haya ni majanga, sina uhakika ila ikibidi mnisahishe ila niliwahi kuona nchi kama Kenya hapo hizo shule zipo, Huko Rwanda wapo next levels wala si wa kucompare nao.
Hivi katika ulimwengu huu...
Wakuu,
Nimeingia kwenye tovuti ya posta nimeona kuna sehemu wameandika kufungua virtual box. sasa nilikuwa nauliza je, kama nikifungua naweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo?
Natanguliza...
Habari zenu wakuu, nimekutana na hii huko Twitter, kwa mwenye uzoefu na tigo je hivi vifurushi vipo kweli?Au ni mtu tu kaamua kujitengenezea graphics? Nilishakuwag na laini yao kipind flan, lakn...
Hello,
Naomba msaada WhatsApp yngu imegoma kufanya kazi, kila nikijaribu kuirudisha inadai account is being on a registered new device! Nisaidien niirudishe vipi.
Habari wana Jf, ni matumaini yangu mpo salama, kwa wenye changamoto kidogo za kiafya au zingine zozote, basi Muumba awafanyie wepesi ndugu zangu.
Samahanini huenda uzi sijui kuupangilia vizuri...
Wakuu nahitaji mtu anaeweza ku unlock hii router moja kwa moja iwe inatumia mitandao yote sio kama maelekezo ya youtube inakuwa ina unloked ila ikizima ukawasha inarudi tena locked sasa nataka iwe...
A new artificial intelligence bot aims to destroy humanity and establish global dominance, according to a recent report.The question is whose dominance.This is obviously its' makers and...
Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science....
Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title...
Habari za mchana huu.
Najua humu kuna wataalamu wengi, naomba anayeweza kunisaidia kuirudisha hii email yangu tafadhali.
Niliitumia miaka ya nyuma kidogo na nimejaribu kufuata zile procedure...
Habari wana JamiiForums,
Leo asubuhi niliripoti kukatwa na GOOGLE PLAY kimakosa kutokana na app moja ambayo ilikuwa ina run kwenye android yangu ambayo siku ya jana ilifanya malipo automatically...
Samahani wataalam ninaomba msaada namna ya kupakuwa movie kwa Telegram channel kwani inaoneka inashuka na mb zinakatika ila ikifika mwisho hakuna kitu na hii ni kwa format ya mkv ila kwa mp4 haina...
Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa.
Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni...
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.
Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.