Naomba kuuliza, kwa aatumiaji wa simu.
Hivi kuna watumiaji wa simu wanapata raha ya display zaidi ya sisi tunaotumia infinity display ya samsung?
Jamani tunaotumia hizi infinity display ya...
Nahitaji mwalimu mwenye ujuzi wa kufundisha moja ya software platform for professional product design and manufacturing.
Base: dar es salam
Module of Institution: startup
Kwa aliye na sifa dm plz
Jamani naombeni ushauri nina biashara ya juisi nataka kununua fridge, nishaurini fridge gani linaweza kua zuri na lisilokula umeme sana la dukani au mtumba, ya mtumba bei yake ni affordable...
Mwaka 2022 Xiaomi walizindua tablet ambayo inakwenda kwa jina rahisi tu "Redmi Pad" ... yaani Xiaomi Redmi Pad. Ambayo bei yake ni kama shilingi laki nne hivi za kitanzania.
Tablet hii inakioo cha...
Nambie YouTube ilikusaidia Nini na ukalitatua tatizo lako kupitia YouTube?
Chuo walikuwa wananiita Mr IT sababu nilikuwa vizuri Sana kwenye kuchezea cm,pc nk maujanja yote niliyapata YouTube na...
Salaam wana jamii tech,
Naombeni ushauri ni laptop gani Brandnew naweza pata kwa bei isiyozidi 950k ambayo ina vigezo hivi
RAM 4GB
PROCESSOR COi 3 walau kuanzia generation ya 6
HDD kuanzia...
Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n...
Wakuu, salam kwenu
Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv...
Wadau hili jambo linaniuma sana. Jana nilinunua Galaxy S2 at&t used kutoka kwa rafiki yangu alitoka nayo nairobi.
Nikaona nifanye factory reset kabla ya kuitumia. Ila njia ya kawaida iligoma...
Mashine ni hio hio moja inayotoa copy na kuprint lakini gharama ya kuprint ni kubwa kuliko gharama ya kutoa copy.
Unakuta sehemu nyingi hasa vyuoni gharama ya kutoa kopi ni 30 hadi 50...
Wakuu habarini?
Nataka ninunue flat TV kwa ajili ya matumizi ya office, nimepita huku na kule nikavutiwa na kampuni hizi mbili za TV, naomba ushauri wenu, Ni kampuni gani Ni Bora , ipi imara na...
Habari wakuu,
Poleni na majukumu.
Nimeangusha laptop yangu ya Dell Inspiron 5481 , x64 based pc na kioo kimepasuka. Nimejaribu consultation na fundi ananiambia kioo tu ni 350k hapo bado payment...
Kwa mujibu wapendekezo yaliyopitishwa na Bunge la #Congress, adhabu hiyo itaanza utekelezaji endapo Mtandao huo utafungiwa kuendesha huduma zake Nchini Marekani
Pia, Wabunge wa #Democratic na...
Habari wadau wa j4, naomba kuuliza jambo kuuzu hii kitu inayoitwa bluetooth. InFahamika kwamba computer kama haina bluetooth unaweza kununua usb bluetoth na ukachomeka na ukatumia bila shaka kila...
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
Aprili 3, 1973 Mhandisi wa Kampuni ya Motorola, Martin Cooper au kwa wengine "Baba wa Simu za Mkononi" alifanya Maongezi ya kwanza ya simu. Simu hiyo ilitengenezwa kati ya Mwaka 1972 -1973 na Timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.