Hello bosses....
Kwa mizunguko mizunguko nlopitia baada ya kufanya kazi na watu kadhaa kwenye field ya software dev nmekuja gundua (in my opinion) kuna software hizi 3 hata itokee alternative...
Waungwana wapi naweza pata App ya linkedin ambayo ni premium haitahitaji malipo kwa baadhi ya features
Aiseee sina hela ya kulipia hizo features zingine
Msaada
Hello bosses uzi huu ni maalum kwa ajili ya kufahamishana technology mbalimbali ambazo kwa njia moja ama nyingine zimezuiwa au kufichwa au kuruhusiwa kutumika tu na watu au taasisi fulani pekee...
Hello bosses.......
Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi...
Hello bosses....
Jana Tarehe 20 April 2022 ilikua ni siku ambayo itaingia kwenye record ya maendeleo kwenye field ya Artificial Intelligence hasa hasa upande wa NLP & NLU (Natural language...
Wakuu mambo vipi!
Natafuta mtu wa kuni mentor hiyo kwenye python programming. Nina passion na hiyo language hasa kwenye mambo ya data science na Machine learning.
Nimeanza kupitia videos na...
Habarini wadau wangu wa nguvu.
Napenda kuuliza kuhusu Nala Money; Kuna yeyote humu ambae ameshawahi itumia. Nadhani wengi watakuwa bado sababu kwa Tanzania bado haijazinduliwa.
Jambo langu kubwa...
Hello bosses...
Tumesikia toka mwaka jana makampunj kama paypal, google, Meta(fb & insta owner), stripe, microsoft etc.... yakifukuza watu kwa kasi ya ajabu sana.
Leo hii tena mida hiihii...
Mimi najishughulisha na kazi ya kutoa huduma ya uchapaji na kudurufu nyaraka. Nina mashine mbili, Kyocera TaskAlfa 3051ci na Konica Minolta BizHub C452.
Mashine zote ni colour, zimekuwa...
Wangwana kichwa kinajieleza hapo,
Naomba kujua kwa Dar es Salam wapi au duka gani naweza pata motherboard ya hp pavilion g6.
Msaada wenu jamani wangwana.
Ikiwezekana na mawasiliano mnipe kabisa
Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje?
Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada.
Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k...
Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama:
Bongo flava,
Tanzania
2000s
Bongo Records...
Habar wakuu
Msaada tafadhali week ya pili now nimefungiwa instagram account nimefuata hatua hizi lakini hamna kitu, naomba kama kuna hatua zaidi mnisaidie
Asanten.
Kama kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu zangu nimesakinisha Ubuntu 22.04 kwenye HP Elitebook Folio 1040.
Nimefanikiwa mpaka mwisho lakini nikizima kuwasha tena inakataa.
Nimejaribu kupita Google...
Bila ku organize mafaili huwa inakuwa shida sana kuperuzi hasa kama yapo mengi, hua inakuwa haina utofauti na chumba kichafu ambacho hakipo organised hata kujua mswaki ulipo inakuwa kasheshe...
Mambo vipi JF .
Ni muda sasa nimekuwa nikitumia free Microsoft word office ku type kazi, CV, barua n.k.
Sasa siku hizi nikijaribu haikubali ku type wala ku edit chochote. Naomba msaada mnatumia...
Habari wana jf,
Leo naomba kuuliza je camera za kushoot video za YouTube sio za simu? Maana nataka kuanzisha YouTube channel na vipi kuhusu subscribers na watch hours kiasi gani inatakiwa kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.