Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
DOWNLOAD LINK More Info CLICK HERE
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
jamani mwenye activator ya windows 8 release previews build 8400 anisaidie kuipiga chini naona ishu kwa sababu naipenda sana nisaidieni niweze kuiactivate jamani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina imani mu wazima, Tafadhali naomba msaada wa kupanga matokeo ya mtihani kuanzia mtu wa kwanza hadi wa mwisho, mpaka sasa nimeshaandika randomly hayo majina 263 na alama zao kwa masomo manne...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nimenunua samsung galaxy s2, inakataa kuunga internet ya mitandao ya hapa home, inaonesha inatumia movister, msaada wakuu wa mawaz
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Ni muda mrefu nimekuwa nikitumia Internet bila Data plan,yaani hata vifurushi vya cheka nimekuwa nikifungua vizuri internet.Sasa hivi juzi imekuwa ikigoma kufungua internet. La sivyo niondoe betri...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Mwenye kujua bei na sehemu inapopatikana machine ya kupimia uzito wa mtu (mzani)
0 Reactions
2 Replies
4K Views
WALIANZA NA VISIMBUZI/VINGAMUZI SASA WAMESHAFIKA HADI KWENYE SIM CARD.... HIVI HII SERIKALI YA MKUU WA KAYA WANATAKA TUHAME NCHI TUWE WAKIMBIZI KABISA. KILA KITU MNATAKA KODI HADI simu eti tumia...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Mwenye link hyo naomba au mwenye software hyo atupie kama ckubwa
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sio mbaya kuwajuza wana Tech wenzangu walio interested na Virtual Private networks Kuna haka ka VPN kameibuka siku hizi sio vibaya ukika review na ukaacha maoni yako hapa chini Pia Tembelea hapa...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu wataalam wa humu! Mi natumia simu ya iNote Mini na ina android, tatizo linakuja nikitaka kuapload blog yangu kutumia simu naambiwa unsupported browser, nikadownload opera mini lakini...
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Microbes that can thrive in extreme environments - but are tricky to grow in the laboratory Related Stories Bugs to be Earth's 'last survivors' Arsenic-munching bacteria found Living life to...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Wakuu tafadhali msaada Nimefuta baadhi ya program kwenye Pc yangu cha ajabu, Modemu ya voda haisomi! Nimeunstall ili ni Install upya lakini bado haitaki hata kuinstall tena, Jamani naombeni msaada...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Sijui nimekosea wap hii ni duos line one inaonyesha kwenye display 0.0 na kila nikipiga inaleta msg "no credit left" na vocha ipo. Nimejarib kugoogle inasema nimeweka call limit nikitaka kuedit...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
ni Muda sasa umepita kwa dish za kawaida tulikua tukipata ktk uelekeo wetu huu wa East kuku2mia Ku-Band na C-band. sasa signal zipo, Picha hatupat. Tbc StarTv Agape Tv Tv Imaan Kbc1...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
sm yangu hainiruhusu kuinstall appl zaid na bado nina space ya kutosha kwenye cd card nataka niiroot safely tatzo sjui procedure sahihi! naombeni msaada kwa anayejua.
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Yaani kila niki-browse JF naletewa error 400 na kuna hayo maandishi ya Cloudflare (sp) hadi naboreka, inapatikana zaidi nikitumia simu. natumia HTC-HD7 ndio tatizo au kuna la zaidi? Nisaidieni wadau
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani nimenunua Samsung E2222 majuzi. Mtoto kashika kabonyezabonyeza mpaka kaweka password, haikumbuki. Ukiiwasha tu, inataka password na mimi siijui, nifanyeje kuifungua?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
So far, Atlas has only been put through its paces in a lab Contact lens gives telescopic vision Robot soldier tests military clothes Watch US plans small-ship drone launches A humanoid robot...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Hello Great Thinkers, kama kuna mwenye hii software ya MatLab na manual yake naombeni msaada nina shida nayo.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom