Jaman wangwana mi natumia sumsung galaxy mini S5570 nmeinstall program chache lakin inanikera na neno phone storage is getting low ! Nashindwa ku install application nyngne na pia hata nikianza...
Wakuu nilinunua simu aina ya huawei honor U8860 inayorun android version 2.3.6 na baseband version yake ni 404020
Simu hii imetoka china na ina chinese version of android
Naombeni msaada jinsi...
Jambo wote wanaJF leo nimekuja tofauti kidogo na wengine japo wote ni uchakachuaji ila kwa njia tofauti mbalimbali. Kwa wataalam wa JF hakuna mwenye ujuzi wa kuchakachua hawa jamaa wa startimes na...
Habrini wana jamii forums mimi huwanapenda sanakucheza sana napicha kwa kutumia editing software kama magic photo editor,photoshine lakini hizi nimezichoka sasa nataka mnisaidie jisi yakupata...
Waungwana hivi karibuni nilichomeka adapter ya laptop yangu kwenye socket ambayo ilikua na matatizo. Sikujua ila nilipokua natumia nilihisi kama napigwa short, nilichomeka cable ya simu na...
Ni hivyo tu wadau, kama hawa microsoft wana tawi lao dar au vip nielekeze plz.
Nia, nataka nipeleke Black Original XBOX yangu amboyo imekomaa kuflash red light na kuomba servece au eti niwacheck...
Heshima kwenu wajuzi wa mambo.
Jamani game consol yangu ya XBOX nilikua ninasiku nyingi siitumii mean ilikaa mda mrefu kidogo bila kutumika.
Hivi sasa ni wiki tangu nianze kuiwasha, lakini kila...
Habari watalaam wa JF section hii.
Simu yangu ni Galaxy Y recently imekua na tatizo la kushindwa kufungua any links. Mfano mtu anapost habari hapa JF, FB au Web then inakua na link attached bas...
Habari wana jamvi kwa anaehitaji....nina samsung galaxy note 10.1 original naitaji kubadilisha na samsung galaxy note 2....haina tatizo lolote na haijawai kwenda kwa fundi....sababu ya...
Katka kazi yangu ya kuhack nime kutana samsung galaxy s4 i9500 hii nikopi ya original haifai kama hamtokua makini 3g hakunA af ina play store lakini ukidownload via wifi bado inashindwa kuinstall apps
Nime-download TRIAL Microsoft Office 2013 Professional Plus bit 32, na nime-install successfully.
Nataka kui-activate. Nime-install Microsoft Toolkit, lakini bado inasema UNLICENSED PRODUCT...
Salam wakuu. Lmekuwa tatizo kubwa kwenye pc yangu, icon zote zmebadilika kuwa adobe reader nikijaribu kuunstall hiyo adobe znakuwa safi, nmejaribu kwenda kwnye default program pia nmeshndwa...
Vipi friji mpya kukaa muda mrefu bila kutumika inaweza kuleta tatizo la lolote la kiufundi?
NB: imetumika kwa wiki tatu tu then ikawekwa kando kwa zaidi ya mwaka sasa.
wakuu, kuna mtu anataka kuniuzia Laptop huku mtaani.
Ni Laptop aina ya COMPAQ
Ram 2GB
CPU 900 @2.20ghz
Harddisk 250GB
BEI ni 300,000
ila betri yake
inasumbua.
( sasa wakuu, hivi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.