Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kila nikifungua laptop yangu inanikomandi nichague boot devices-haikuwa hivyo kabla. Pia maandishi kucheza cheza kila explorer au google chrome ipo kwenye process ya kufunguka . Je, ni virusi au...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Bila shaka ujio wa viber na whatsapp umepunguza maradufu gharama ya kupiga simu na kutuma sms. Mfano data usage ya viber ni sawa na 240 kb per min(up and down). Hii ina maana simu ya saa moja(iwe...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nataka kujiunga na internet, ni BB storm 9530 nimejaribu kununua kifurush cha BB social lakin sijaweza kuacces internet. Nikibofya browser inaniambia "your device does not currently have any...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninayo Nokia x2-02
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu? Naomba msaada wenu wa hiyo kitu hapo juu.nine google sana sijapata soon.ahsante
0 Reactions
0 Replies
890 Views
First Apple computer sells at auction for $387,750 Like Dislike...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Habari wadau! Ninatumia internet ya TiGO katika simu yangu,lakini kuna kipindi naona inanizingua sana nimeamua nihamie Voda,mdau yoyote anayejua setting za internet ya Voda kwenye simu anisaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kwa wenye utaalam huu wa namna ya kuiunganisha (kuset) namba ya simu ya mtu ili mesej zikitumwa kwake zipitie kwangu au kama kuna uwezekano wa kunasa na kusikiliza maongez yake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, nina galaxy S. Nataka kutoa Gingerbread na kuweka Jelly Bean. Kama Jb itakuwa inazinguwa, hata latest ya Gingerbread siyo mbaya. Gingerbread iliyopo ni 2.3.6 Asanteni wadau.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naomba mnisaidie namna gan naweza kumtumia mtu file la computer lenye kama gb 50 hiv on line au posta au vyovyote
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kipindi cha kiangazi (summer) kinapoingia, moja ya biashara zinazofaidika kwa sana ni ile ya vyumba vya kufanyia mazoezi (gym). Biashara hii huwavutia watu wengi kwa sababu muda huo,wake kwa waume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumia Huawei Y300 tatizo ni kwamba inakataa kuplay video YouTube..Naombeni msaada kwa anayefahamu utatuzi
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Habar zenu wakuu! nimeinstall uc browser kwenye simu yangu galaxy s 1 lakini nikiingia inasema error occured,!!tatizo itakuwa nn wakuu??naomba msaada wenu coz numeipenda saana appearance yake...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
nataka kununua hii TECNO P3.naomba mngipe uzowefu wenu kuhusiana na hii simu,iko vizuri na inaperform vizur iyo android
0 Reactions
0 Replies
764 Views
My jf app on my android keep failing and closes all the tym. Tatizo ni nn na nifanyeje maana hata si enjoy jf
0 Reactions
0 Replies
662 Views
habari. Naomba kujua jinsi ya kujitoa ktk huduma hii. Pale mtu anapopiga cm na kusikia muito flan. Mtandao wa vodacom. Thanx in adv
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana jf naombeni msaada simu yangu nokia 5230 imekata mwanga gafla mwanga upo wa chini nimejari kuongeza mwanga haupandi kabisa je tatizo nini? Kuangalia hadi uwe chumbani kwenye giza
0 Reactions
2 Replies
953 Views
kwanza natoa shukrani zangu kwa wanajamii wote pili ningependa tusaidianini kwa wale walio kua hawana uwezo wa kukodi dstv tuwasaidie ili ligi zitakapo anza nao waweze kuona live japo katika...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Dear Technical GURUS nimenunua used Ipad 64 gb,kila nikitaka ku dowload from net inaleta itune na inataka either register or log in,kuna njia yoyote naweza kudownload bypass itune au nifanyeje?na...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Salaam Wakuu, line yangu ya tigo imeblock na nikiwapigia customer care wanazingua, naomba kama kuna njia mbadala wa kuipata. Thanks in advance!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom