Wakuu naomba msaada nimenunua hivi karibuni simu blackberry bold 9900 cha kushangaza inakunywa betry balaa...nimeingia kwenye advanced settings options na analysis inayofanya ni kwambwa inanyonya...
Wakati natumia PC kunafile niliselect nikakomand adobe ili isome ilo file,matokeo yake icon za kwenye desktop zikabadilika na ukizifungua zinafunguka kwa kutumia adobe,yan icon zote isipokuwa ya...
nimepata simu ila ina MOVISTAR kitu kinacho ifanya isi accept setting za internet mitandao ya nyumbani
kwa yoyote mwenye utalaam wa kufanya simu hii ikubali internet naomba anisaidie namna ya...
Mi na shida kidogo kuna vitu nikiistal kwenye my fon (samsung gallaxy s iii mini) naambiwa co rooted phone..so nafanyaje ili iwe rooted phone plz anayejua anisaidie
Wakuu nawasalim...
Naomben mwenye kujua vzur juu ya hz cm za htc nimeziona ila bado Sijajua features zake vuzur.
pia nahitaji kufahamu kama zipo za double line au vp
Nawazilisha....
Nina equipments mbili nilizokua nazitumia ku connect internet kupitia kampuni ya iway africa (Afsat communications)
Kwa sasa nimesitisha huduma na hivyo nauza hizo equipments kwa mtu au taasisi...
Nimeuziwa hii simu ila ilikua Note For Sale kwa maana ya kuwa ilikuja kama sample. Sasa sehemu ya kuweka sim card imefungwa na pia tundu la line ni dogo sana. Wataalam naomba maujanja yenu tafadhali
Soma IT nyumbani kwa muda unaopenda mwenyewe - Video training courses hizi hapa.
Jifunze kozi yoyote ya IT popote ulipo without need to attend daily classes!
alphonce.NET - IT video training site
natumia huawei ascend y300 ambayo ina android jelly bean.
nimekua napata usumbufu kwenye kudownload. wakati mwingine inakua slow, wkt mwingine inakataa kabisa.
cha kuchangaza speed ya kuload...
habarini za jioni wakuu!ninaomba msaada anaeweza nijuza jinsi ya ku crack m/s office 2013 maana nili download bila ya kuiactivate na mda wake wa majaribio umeisha so inanisumbua na nitshukuru sana...
najua watu wengi humu munazo simu za symbian (maarufu n na e series) na muna apps nyingi lakini leo ntawapa app chache za symbian ambazo ni very important na nkipata mda zaidi nta update
3d...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali binafsi bila kupata majibu leo nimeona niwaulize wataalamu naamini nitapata majawabu kama sio majibu! Je, kwa nini unapochomeka ''baterry'' kwenye Laptop huwa...
za majukumu membez wa jf....
Naomba kwa mwenye kuijua vizuri hii simu anisaidie,maana nimeona kwenye picture tu, nimejaribu ku google lkn kiu yangu ya kuijua zaidi haijaisha,
nawakilisha....
Wasalaam wakuu wa kazi a.k.a JM Members
Naomba msaada tutani, I'm trying to get my phone working with my laptop, but when I try to get bluetooth working I have a missing Bluetooth Peripheral...
Nimeitumia hii application kwa wiki sasa ni nzuri lakn naona bado inabugs nyingi.
1.Inacrush sana..
2.Inaload muda mrefu sana.
3. Na zile animoticons (:) ) zinaonekana nusu.
4.Inasumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.