Nina matatizo mawili. Kwanza; Kwa zaidi ya mwezi sasa compyuta yangu aina ya dell (ambayo nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili) imekuwa too slow na tena hata kufungua internate ni shida kweli...
Habari zenu wanajamvi?
Kwa kweli mimi ninapumua,Samahani saana nimesikia kuna uwezekano wa kutengeneza wireless kwa kutumia modem bila routers!plz how can this be done?
natanguliza shukrani za...
Wasalaaam wakuu wa kazi.
ISP gani mzuri na internet yake ipo efficient, awe na router kwasabau ofisi ina computer zaidi ya kumi na zote zinaitajika kupokea mawimbi ya internet. Ofisi ipo maeneo ya...
Habari zenu wadau. Nina tatizo na laptop yangu aina ya compaq presario F700 refurbished to F750US yenye windows 7, 32-bit os, 2.4gb ram, amd athlon (tm) 64 x2 dual-core processsor tk-57 1.90ghz...
Niliwasha Laptop yangu, ikawaka vizuri. Baada ya kuiacha kwa muda wa kama dak 5, ika-Sleep.
Nilipotaka kuitumia sasa ndo nikashangaa kuona hai-display kitu kwenye screen. Nikajaribu kuizima...
naombeni kusaidiwa wataalam jaman. nina sumsang min laptop imegoma kupokea usb yotote. siwezi hata badili window kwa sababu hauna mlangi mpaka mlangi wa nje. na usb zote zimegoma. nifanyeje...
Wadau!
Humu ndani kuna wataalam mbalimbal wa masuala haya,shida yangu nahitaj computer ya mezan( desktop) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hasa kujisomea (online), sasa wataalam ninunue komputa...
Ladies na Magents wa Tech, Gadgets & Science Forum, wasaalam!
PC yangu inapoanza kuzingua mara nyingi huwa najaribu kuinstall ant-virus na kuscan partitions kwa kadili niwezavyo na inapotokea...
wadau kila niingiza pasword kwenye email yangu ya yahoo inagoma na sio kwamba nimekosea pasword,inaniambia psword or user account wrong its a week now hebu jisaidieni maana kuna jambo la muhimu lana
Wakuu ninatumia Nokia Lumia 520,kila nikijaribu kuingia "STORE" na kutafuta application ya JF ili ni iinstall inaniletea feedback kuwa "we couldn't find a match"
Mwenye kufahamu juu ya hili tatizo...
GUYS NINA External hapa ya transcend hapa imenizingua nikiconnect kwenye PC inasema "DEVICE NOT INSTALLED PROPERLY" then haifunguki..help me out guys how should I start fixing this
Salaam wakuu............huwa na-watch sana movie kwenye simu lakini cha kushangaza imegoma kuonesha wakuu.
Nna download manager aina ya multiclip ndio huwa natumia kila siku,nikajaribu...
Habarini za mchana/asubuhi/usiku wakuu. Nilikuwa naomba kwa anayejua bei kamili ya hizi simu dukani au kashaziona kwenye pita pita zake hapa na pale, Angeni saidia kunitajia na pia hata duka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.