Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanajamii Forums!!!! Naomba kuuliza je kuna kozi inayotolewa sehemu ihusuyo mambo ya Blog? Sababu napenda siku moja kuwa Blogger kama unafahamu hiyo kozi naomba unifahamishe ili...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Hii stika na ujumbe wake nimeshidwa kuulewa. Eti unaponunua kifaa then ukakuta hizo hesabu ipi maana yake ktk matumizi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
anaejua General password for techno T611 phone to reset to factory setting plz naomba nimenunua
1 Reactions
1 Replies
12K Views
Wakuu poleni na shughuli za kutwa, nimatumini mnaafya njema na kwa wale wachache ambao hawana ahueni nahakika mungu atakuwa nanyi katka maradhi na mtapona mwendelee na shughuli kama kawaida...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa Java, nahitaji ku create real-time desktop/screen sharing application in Java. Naomba mchango wenu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wandugu msaada wa CineStyle Profile kwa mwenye nayo anisaidie au anipe link, ninaitafuta sana.
0 Reactions
3 Replies
551 Views
wakuu heshima kwenu, kuna jamaa yangu ana shida sana, anataka aniuzie simu yake, NOKIA 700 kwa shillings 150,000/= nimpe au ntakua nimeingia chaka?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Internet speed test, router speed max 100Mbps kwa wifi pamoja na Ethernet, cha kushangaza Napata max 18Mbps kwenye Wifi na 38Mbps thru Ethernet Je hii ni kawaida? Note:internet provider...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Blackberry bold 9780...ipo inauzwaa,mda wowote unaipataa ukiwa na pesa yako.. Unapewa na pocket case yake..!! ## ni pm tuongee biasharaa
0 Reactions
4 Replies
835 Views
nimesahau password katika PC yangu na ina data muhimu sana kwa anayejua ufumbuzi nitashukuru sana
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nauza iyo simu,ina miezi mitatu toka itoke dukani,ni mpya haina tatizo lolote ina waranty ya mwaka mzima.inauzwa 110,000 atakaye ani pm au call 0754868040
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Mambo vp wadau naomba tips za ku unlock hii cm maana kunajamaa alibadili style ya ku unlock screen na amesahau msaada tafadhali maana tushajaribu maranyingi na anaishia kuambiwa tey again after 30...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Strait from shop, nimechukua hii mizigo wazawa. flat tv iyo ya kichina inch18 na RCA home theatre. karibuni wataalamu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada wakuu leo nime open with kwenye laptop yangu faili zoto zime zimebadilika nimejaribu ku restore setting lakini sikubahatika kusawazisha hili tatizo kama wewe unajuwa naomba unifahamishe
0 Reactions
0 Replies
571 Views
window failed to start. A recent hardware / software change might be cause. to fix this 1.insert your windows installation disc and restart your computer 2 choose your language 3.clicj repair...
0 Reactions
4 Replies
830 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu..mimi ni mkazi wa jiji la dar-es-salaam. #nina miliki Blackberry Bold (Nyeusi), ningependa kubadilishana na Samsung galaxy au HTC..!! #### kama unamiliki moja...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
shirika la simu la kihispania la telefonica litazindua simu yake aina ya zte open itakayotumia os ya firefox simu hiyo itagagarimu us dollar 90 around 150.000 tsh,simu hiyo itakuwa na pecs za...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu wana bodi. Naomba mtu yoyote anajua vizuri simu inapoandika -79 dBm 35 asu hasa hizi smartphone inakuwa na maana gani ? Namba hizi -79 dBm 35 asu huwa zinapanda na kushuka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna laptop hp 650 na hp ENVY m6 zote zimekuja na window 8, sasa nataka kuweka window 7, kila niki jaribu ku boot from cd inakataa na nikicheki bios nimeweka powa kupitia f10 na kila ki press f9...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom