1. Dial *#0011#
2. press Menu then tap BACK
3. press the Menu again the tap KEY INPUT then enter 1, (wait a few seconds) it auto jumped into service menu.
4. press Menu then tap BACK (not needed...
wasalam wakuu, nina nokia e71 inagoma kudownload /install app hii ni baada ya kui flash kwa kwa file v.50.21 kwa sasa napata ujumbe unaozikataa certificate,hili ni janga kuna njia rahisi ile ya...
Jamani habari wana jukwaa,naomba mwenye kuzijua hizi tablet za city call kama kuna mtu kashawahi itumia,ina uzuri gani na udhaifu gani,naomba mwenye kuzijua please aniambie zinatengenezewa Hong...
habari wanajamvi. mie nina ujuzi kdogo wa computer. ila shida yangu ni kutengeneza vitu ama maandishi yenye ubora mzuri zaidi. nimejaribu kwa kutumia powerpoint and office picture management tools...
wakuu habari zenu,
nina laptop (compaq intel pentium ll) sasa kila nikiiwasha inaniandikia windows fail to start halafu inajizima yenyewe, nikiwasha tena mchezo uleule.
kama ikikubali kuwaka...
Binafsi naamini hakuna kama KMPLAYER katika media players ninazozifahamu. Swali :je kuna player nyingine nzuri zaidi kuliko KMPLAYER?Just curious to know if i'm using the best.
habari wanajamvini.. nina katatizo kidogo hapa, kuna Toshiba laptop ukiiwasha tuu inakuambia ufanye set up ya date, time and boot up sequence inatumia windows XP, kiiila siku yaani, na hata some...
Habari waungwana
nauliza nina dish la ft 6 euro star na receiver ya mediacom, tayari limeanza kupoteza chanel mojamoja, je kuna namna nawezafanya ili nipate chanel nyingi zaidi au ndio yatakuwa...
Solution for Stuck "Preparing to Configure Windows. Please do not turn off your Computer"
Preparing to configure Windows, please do not turn off your Computer was a Microsoft windows 7...
wadau msaada kwa anaejua wap ntapata kioo cha ndan cha tv kimepasuka ni samsung lcd na wino umevia ndani! so kwa anaejua wap ntapata na bei yake ntashukuru sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.