Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani nimepata hii mobile broadband ya HUAWEI ni Vodafone mobile Wi-Fi R201 inatumia laini moja ya vodacom Sasa naombeni msaada ku-unlock hii modem niweze kutumia mitandao tofauti. Msaada...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Kuna micontacts imeng'ang'ania kweny contacts list yangu na sitaki kuiona. Mtu sio rafiki yangu sina namba yake ya simu lakini namuona kwenye list yangu, sitaki.....mwenye kujua jinsi ya kufutilia...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Natumia Huawei Y300 lakini inakataa kuplay video YouTube pia natumia line ya Tigo
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Unafutaje app uliyoinstal mwenyewe katika ipad kutoka ktk app store?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani jinsi ya ku un-install na ku install internet explore kwenye pc. Asanteni sana
0 Reactions
4 Replies
986 Views
Wadau, Nilikua naangalia social network ambayo ipo hot now achilia mbali Facebook na Instagram nikaikuta hii site inaitwa "Pheed" ambayo unapatikana katika googleplay na Applestore. Kiukweli ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau nimehangaika kutafuta remote ya hiyo receiver nimekosa nimebonyeza pale kwenye zile botton zake nikafanya auto scan nimepata channel lakini eatv na itv hazna sauti nimejarb kuchange waya za...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Kati ya Chrome, Firefox na Opera Mobile....Natunia galaxy S2
0 Reactions
17 Replies
5K Views
wakuu naomba msaada wa hilo, kwan imekuwa inakataa ku play you tube, msaada plz
0 Reactions
3 Replies
844 Views
Waugwana niliomba msaada hapa wakati nilipohitaji kununua Huawei ya Tigo na nashukuru kwa maoni yenu. Nimenunua Techno N3 kwa sababu mbili kubwa,uwezo wa kubeba laini mbili na comments...
3 Reactions
56 Replies
8K Views
Wadau kuna mtu anaetumia hii product nimeipenda ila sina uzoefu kama ina matatizo gani, nijuzeni ili niamue
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mimi nimekua natumia simu hii kwa muda kidogo ila tatizo kubwa ni pale ninapojaribu kuweka au ku download aplication mbalimbali kutoka kwenye kampuni yao(samsung)wanaponiambia niweke au ni sign...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Wadau naomba mnisaidie hili; nimeshafanya booking ticket online kwenye website ya fastjet na nikapewa reference Id,je nikishalipia kwa Mpesa tiketi yangu naipataje(naidownload au inakuaje?)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Lauryn Mcphillips <mlauryngirl4u@yahoo.co.uk> Jun 12 to me Hey , It's pretty nice hearing from you, hope you are doing great, however it will be nice keeping in touch...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Almost all of de ppo have been wait'g 4 de Amazing product from apple dis year...and dats is Iphone 6. ## Iphone 6 is predicted 2 take over all the Market cause of its Technology.. #### Stay updated
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni khs bei yake na wap? Nokia e72.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Closed
Wanajamvini naombeni kujuzwa hii application ya JF ambayo inaptk kwa smartphonez ni wapi naweza comment post za wana jamii na kuandika post yangu mwenyewee...!???anaejua tafdhali anijuze Ok nw...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Douglas Engelbart, a technologist who laid out a vision of an internet decades before others, dies of kidney failure. Engelbart showed off a cubic device with two rolling discs in 1968 - the...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Nimejaribu ku-update firmware za Zantel modem EC122 baada ya kumaliza tu imekuwa ikigoma kusoma line yoyote hata modem yenyewe imekuwa haisomi,,,,,,Msaada nifanye nn au kuna njia ya kuirestore to...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wakuu nimejaribu kurequest settngz kwny cm yang lakn naona hawanitumíi so nataka niingize manually kwaio naomba msaada wa vi2 kama apn,subnet mask na vyote ambavyo vitanisaidia kubrowse. Shukran wakuu
0 Reactions
7 Replies
23K Views
Back
Top Bottom