Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wadau nina receiver ya media com 910 + kuna mwanangu kaweka passord na sijui ni ipi kwa hyo nashindwa kutumia remote naombeni msaada wenu nini nifanye kutatua tatizo hl
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Je upo uwezekano wa kunganisha tv mbili au zaidi kwenye kingamuzi kimoja hasa kwenye nyumba zinazomiliki tv zaidi ya moja?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari Natumia simu aina ya nokia...security code imenigomea Kuna namna nyingine ya kufanya au ni mpaka kwa fundi?
0 Reactions
3 Replies
799 Views
jamani nisaidieni kuna mtu anataka kunitumia simu kaniambia nichague moha kati ya hizo mbili...naomba mnisaidie ipi niichague??? kwa hyo Samsung Rugby Smart I847 naogopa ktu kimoja nlishanunua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari gani wanaJF., ninaomba msaada wa jinsi ya ku'upgrade android os ya simu from 1.5 to 2.1 au 2.2 (froyo). natanguliza shukrani za dhati. nilijaribu ku'upgrade automatic lakini haikuniletea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani naombeni msaada nitapataje capital tv kwenye king'amuzi cha startimes
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Project nafanya hapa lakini image ninazo zitengeneza sijazipenda rangi hivo nisaidieni ili kutoka kwenu niweze fanya selecion ya colors Provide 4 images – using photoshop or anything...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
msaada wenu juu ya hilo ndugu zangu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
https://www.evernote.com/shard/s313/sh/a0ef2452-0731-43b1-989b-b0e993e3ac3d/160bc768f7368d13201606e8a3070410
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Nina kama wiki nacheza game hili, kwa ufupi ni zuri sana kama wewe ni mpenzi shooter games na game ambazo unaweza kuinteract na vitu mbalimbali jaribu hili. Inawezekana ni kawaida lakini mimi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wataalam ni kiu ya kutaka kufaham,hivi hizi satellites,YAHSAT 12 @52'E,ASTRA 2F @ 28'E na NILESAT 201 @ 7'W,naweza kuzipata katika dish ya ft 6?maana nimesikia mipira a.k.a ndimu huko ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Habari zenu hivi inawezekana kufuta picha zangu na information zangu kwenye blog ya mtu?
0 Reactions
4 Replies
934 Views
wakuu sasa naleta kwenu!! IMENISHINDA kuichakachua modem ya tiGO Huawei e303s-1 .....naomba msaada wenu sasa maana nshatumia ujuzi wangu wote na baadhi ya ujuzi kutoka google ila badoo...modem hz...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Its a sad truth but truth nevertheless. Today I was making rating based on Alexa on how much Tanzanians who surf do like to visit. Thanks to google and many other tools, I did not had to open...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
ni vipi naweza kufungua ustream nataka kuwarushia live mechi za epl na la liga lakini sijui ni vipi unaweza kufungua ustream wenye kujua nambieni shukran kwa wote
0 Reactions
1 Replies
708 Views
msaada wakuu hii simu ilikuwa inadownload vizuri tu but tatizo limeanza baada ya kui restore sasa hivi inakubali kudownload apps peke yake vitu vingine inakataa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Msomaji wa JUKWAA la Tech, Gadgets, & Science . Leo katika uzi (THREAD) huu niamuwa kuwakutanisha watu ambayo wana similar Interests. Mimi nikiwa ni miongoni mwao. Miongoni mwa WANAJF wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina rafiki anategemea kuniletea Tablet toka Urusi lakini nimejiuliza huenda isiifanye kazi katika mitandao ya simu ya Vodacom,Tigo au Airtel hapa Tanzania, kuna mwenye idea anishauri natanguliza...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
wakuu kuna kitu inanitatiza naomba msaada wenu plz.kuna hizi gari zenye mfumo wa d4 au gdi pump zimekuwa gumzo i sana hapa kwetu tanzania kutokana na mfumo zinaotumia.hili bila kubisha nenda kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtu ametuma na kupokea message kwa kutumia simu yangu bila ya kuigusa. Ni hivi alikuwa akiitumia simu yake kumtumia sms mtu mwingine lakini cha ajabu ikaonekana kama vile simu yangu ndiyo ilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom