Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wengi wetu ambao ni gamers kama NingaR na chief-mkwawa tumelelewa na games kama SF (street fighter), Tekken na Mortal Kombat. game developers haswa wa fighting games wamekuwa wanabana kuleta games...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
heshima kwenu wakuu,kutokana na gharama za juu za ps 3cd games mwana jf mwenzenu nashindwa kumudu kununua cd game nyingi,niengependa kujuzwa wapi naweza nikapata cd za ps 3 za bei rahisi hata kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninauza Smartphone (SAMSUNG GALAXY POCKET) kwa 16K. Bado ipo kwenye good Condition. Many apps be installed. Charger, Earphones na Box lake nitakupa. Call Me 0756851815.
0 Reactions
0 Replies
796 Views
wana jamvi naomba msaada wa ku unlock huawei modem EC226
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Wakuu naombeni msaada nilikuwa na cd yangu yenye program mbalmbali sasa nilitaka kuicopy ghafla zikafutika zote nifanyeje ili zirudi? Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Kuna watu wengi, kama mimi wana visimbusi vya GTV. Je, wadau hivi hakuna namna yoyote ya kuvitumia visimbusi hivi kwa mazingira na miundombinu ya ki-tanzania kwa sasa? Msaada pliz!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nina iphone 4s 64GB, so nahitaji kujua namna ya kuingiza app nyingine coz bado mpya na ndio mara ya kwanza kuitumia
0 Reactions
5 Replies
801 Views
OpenWhatspp project Dear Blackberry, Before you decided that OpenWhatsapp violates WhatsApp's terms and that you could not accept it in App World, have you been fully aware that YOU are the...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Heshima kwenu wakuu,jana jioni kwa bahati mbaya sana niilibiwa simu yangu na kuna picha za muhimu sana,ningependa kujua kama kuna njia yoyote ambayo ninaweza nikazipata hizo picha simu yangu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Naombeni msaada kwa yoyote mwenye uwezo wa kunirekebishia hiyo display ya hiyo simu au anielekeze ambako naweza kufanikiwa kupata Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Habari wanajukwaa! Computer yangu ilikua imefungwa kwa password niliyokua nikiitumia kuwashia computer hiyo kwa zaidi ya mwaka sasa! Cha kushangaza ghafla leo hii password hiyo imekataa na...
0 Reactions
10 Replies
843 Views
naombeni kuuliza nini tofauti ya i phone, i pad, tablet, adroid na gadget? mambo haya yananichanganya sana, naomba mwenye uwezo wa kunifafanulia kwa kiswahili ili nielewe vizuri
1 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani tunatafuta watu wanao toa huduma ya internet kwa kufuga madish kwa mashart yafuatayo wawe na bei naafuu kama ni kwa mwezi au kwa mwaka. huduma yao iwe nzuri isiyo na usumbufu. iwe na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuinstall FIFA 13 for SONY Ericsson Xperia Play. Kama una duka, you will be paid ila ningeshukuru pia kama nitapata msaada.Ninazo tano, na zina Steet Fighter...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
.......
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Huge collection of Free Microsoft eBooks for you, including: -Office, -Office 365, -SharePoint, -SQL Server, -System Center, -Visual Studio, -Web Development, -Windows, -Windows Azure, and...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee nilikuwa naomba msaada wa njia rahisi wa kupata blackmart alpha inayo function ukweli coz nyingi kwenye Google ni fake, mara azi download, cjui imecrash, mambo mengi kweli... Kwahiyo...
0 Reactions
3 Replies
881 Views
msaada wadau nimenunua Nokia x2--01 mpya yenye nembo ya t-mobile cha ajabu ndani hakuna ovistore vilevile hata nikidownload haifanyikazi yaani ukitaka kufungua tu inaandika closing application...
0 Reactions
3 Replies
738 Views
naoembeni msaada nataka kurestore samsung galaxy ace lakin tatzo inahitaji kufuta kwanza samsung account ambayo pia inahtahtaj password ili niweze kufuta so naombeni mawazo yenu wakuu!
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Ni siku zimepita tokea mmiliki wa Liberty Reserve(LR) kufungwa na kupelekea kufungwa kwa service yake In countries where PayPal is not permeated they Adopted Perfect Money(PM) Kama kuna mjuzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom