Habari zenu wadau,
Naomba msaada wa namna ya ku upgrade Android kwenye mobile.
Natumia Sony Xperia ambayo original OS yake ni 4.0 ICS, lakini nataka ku upgrade iende kwenye 4.1 Jelly Bean...
wanajf
nahitaji mwenye kujua ni software ipi nzuri kwa kuedit videos naomba aniambie ni ipi ili nieze kuidownload
na nataka ambayo ni free kuipata kwenye internet!
Naomba msaada wa kufanya manual configuration ya internet kwenye cm yangu maana kwa automatic inagoma (Android, phone model number ALCATEL ONE TOUCH 918)
Nataka kujua kama kuna mtu anatumia tecno q1, anipe detailz zake, imean ukaaji wa chaji, jinsi anavyo iona as a smart phone, je kama inasumbua kitu, coz iwant to for that soon wajamen...
naombeni msaada kuhusu hiyo modem nikiichomeka kwenye pc inawaka taa tu ila haifanyi chochote na nikifungua mobile partner inaniambia device not detected
Wadau, habari zenu? Ninayo laptop yenye OS ya windows xp.<br>Ninapoiunganisha na internet kila mara inatokeza dialogue kuniambia 'java update available' Mara nyingi naclick na inapakuliwa. Sasa...
Kwa wale wapenzi wa window 8 kuna hii kitu ya Net framework 3.5 huwa inaboa sana sometimes hasa ukiwa huna internet na unataka kuinstall kitu huwa inagoma..sasa kuna hii njia nimeikuta mahali, kwa...
Niko wilaya moja ya mkoa wa Mbeya,
Nahitaji internet ya matumizi ya ofisini angalau 1MBps.
Nahitaji gharama za kila mwezi, kufungiwa n.k
Tafadhali TTCL hawahusiki huduma zao mbovu sana...
Jana alhamisi (20.6.2013)samsung wameto laptop(tablet) inayorun operating system mbili at the same time yaani android jelly bean na window 8,lengo kuu ni kuwapa wateja wao ladha tofauti baada ya...
Heshima mbele wakuu..
Naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha lugha kwenye pc, hii mashine nimeipiga window lakini katika hali ya kutokujua nimechagua lugha ya ki-portugal, so nataka kuirudisha...
Pana jamaa yangu katumiwa meseji , hajajua hao majambazi walipo, wanamwamuru kuwapa pesa kwa simu ya voda, afanyeje ili ajue walipo hao majambazi , kama pana mtu anaweza saidia kujua...
Greetings wana jf.
First i know kama kuna member wa hili game basi its likely mtakua mmecome across this setback so please any1 who knw how to solve this i wilk appreciate th help.
Okey tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.