Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
0 Reactions
59 Replies
6K Views
guys now nikitaka kudownload file kupitia idm napata error hii kwa browser zote ''Cannot transfer the download to IDM ERROR 0x80004002'' Nimehangaika google bila mafanikio, any1 with help...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Come July 10, 2013 all unregistered SIM Cards will be phased out the National Assembly has been told. In her supplementary question Lolensia...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
naombeni msaada jinsi ya ku-unlock hii moderm ya ttcl broadband Huawei EC122 ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu ktk chili nimedownload whatsapp kwenye play store ya android lakini nashndwa kuaccess profile picture mfano nkitaka kubadili picha na pia status. Msaada wenu wakuu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wakuu kwa siku za karibuni nimekua nikipata shida sana kudownload video youtube na mitandao mingine kwa kutumia idm..mwanzo ilikua inafanya kazi vizuri sana ambapo nilipokua nacheza video yoyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapenzi naomba mwenye muda wa kunielekeza namna ya kuweka video kutoka YouTube anielekeze pleez......asanteni sana
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa jinsi ya kuflash Nokia c3
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu teknolojia inazidi kushika kasi, wengi wetu tumezoea kushare mafile kwa njia ya ku-uploud kwenye mitandao mbali mbali kama Mediafire 4shared kushare kwa njia hii inakulazima kutumia mda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
msaada wenu jamani natumia samsung galaxy music 6010...nataka niipandshe hii os mpaka jelly bean. shukran
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nasal a desktop isiyokuwa na mgongo nyuma na CPU iliyo kama deki sitaki zile za kusimama ram kuanzia gb 1, processor Intel dual core speed from 1.7 budget 250..
0 Reactions
0 Replies
829 Views
wajameni baada ya kuangaika kwa muda mrefu peke yangu ,sasa naomba niwashilikishe wanajamvi wenzangu;;;NI HIVI kna magame haya ya kampuni ya gameloft hivi yanapatikana website ipi? hususan hili...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Wadau, mm ni mgeni wa python language. Ninataka ku implement client inayotransfer ma files zaidi ya moja kwenda kwa server app, in python language. Ningependa nitumie Stream Sockets (TCP) na sio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nime download dc-unlocker client ila kila nikijaribu ku unlock modem inadai kulogin pamoja na password, naombeni msaada kwa yule mwenye uzoefu nayo ili niweze kuitumia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Namna ya kuficha faili (folder) kwenye computer yako kwenye darasa la leo nitafundisha namna ya kuficha folder kwenye komputer yako na mtu asilione kiraisi kiraisi fwatana nami kwenye darasa la...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
wana jf salaam zenu, katika pita pita kwenye net nimeshangaa kuona zuku wameongeza malipo ya mwezi kwa package zao kwa 20perc kwa kila package!!!!hii imekaaje mbona walishatoa taarifa kwamba...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
I tried to use VoIP in my device and managed to make a call,it rung and received but I could not hear from the other part even the receiver did not hear from me. Please,I need your help. Thanks...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar jf members.Nawezaje kupata password za e-mail(gmail) mana najaribu kufungua account yangu inadai password entered ni wrong or your account has changed.But nahuakika na password nnazoingza...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Hii simu inatatizo la kupoteza network pia sometimes touch inazingua unaweza bonyeza icon hii ikarespond nyingine..sometimes inapiga mzigo fresh.nimejaribu kuireset lkn bado tatizo...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
wadau naomba unifafanulie kama nokia c5 ni nzuri?kuna jamaa hapa anataka kuniuzia.pia mnipe na ubaya wake.msaada tafadhari wadau.
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Back
Top Bottom