Heshima kwenu wakuu pia samahani kwa usumbufu maana yaweza kuta issue kama hili lilishawahi kujadiliwa hapa .
Kuna rafiki yangu anasumbuliwa sana kwa kupigiwa cm na mtu ambae hatamani kupigiwa...
Wakuu naomba tutorial ya ku jail break PS3 version 4.25 ... i tried to google but aim scared i might broke my $ 299 PS3 so nahitaji mtu aliyewahi kufanya on version 4.25 na akafanikiwa & ! i...
kuna project imetengenezwa na JOOMLA sasa natafuta njia ya ku iweka kwenye pc yangu niweze ku edit au ku view kama kwenye localhost..
msaada wenu wa wakuu...
Tecno, the worst Android-phone manufacturer, ever?
If you live in the African or Asian region, the word Tecno must have fallen on your ear. Not the music genre techno the other techno but this...
Wakuu Habari ya Jumapili
Nina matatizo mawili;
1. flash yangu kwa miezi karibu minne sasa inagoma ku save au ku delete documents kwa sababu ni write protected. Naomba msaada jinsi ya kuondoa hiyo...
WanaJF Simu yangu niliifunga na password sehem ya security code, password ile nimeisahau. Ninataka kurestore setting. Nimejaribu sana nimeshindwa. Ninaomba kama kuna altenative password au...
tecno are expected to launch their tablet called TECNO
ANDROID JELLY BEAN 4.2.1
PHANTOM N9 TABLET
full specication
Sim Single Sim
Network 3G/2G
Dimension 204x154x9.8 mm
Camera ...
Simu yangu imekumbwa na tatizo.Gafla ilipoteza @k2 ktk setup za ndani;inbuilt webadresses e.g za themes,appl.,na folder mpya ya E-mail ilifanyika ktk main menu profiles na haifunguki...
Now Nigerians have their own VPN client like munjy1's service
I have tested it and it works
Its high time for we Tanzanians to make move as far as Technology is concerned more especially in...
Habar wana j.f! Natumia kaspersky 2013 na je kwa nin inataka nii update kila siku!??..
Nahitaji kui upgrade to kaspesky internet security 2013,kwa mwenye key za kaspesky internet security 2013...
Wadau mambo vipi?
Kwa yeyote mwenye kujua naomba anielekeze kitaalam ipi bora kati ya antivirus hizi mbili maana nataka kuinstall katika computer yangu.
Asanteni.
Naomba kujua kama simu za huawei ascend P1, P2...P6 zinapatikana bongo?na kama zinapatikana ni kwa bei ipi?
Kwa ufupi natafuta smartphone nzuri yenye bei chini ya laki 3.
Na kwa wale waliopo...
Kufuatia kuongezwa kwa kodi katika huduma za simu za mkononi , gharama za huduma hizo zinatajiwa pia kuongezeka kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.