Nimetoka Arusha niko sehemu moja hv Inaitwa Igurusi-Mbarali Mbeya kwa shughuli za kikazi kotoka arusha nimejiunga na bando ya mwezi mzima voda,bt chakushangaza baada ya kufika kwenye huu mji ambao...
Nna leseni class D,je kupata class B lazima nikafanye testing upya? au ni taratibu gani nnazotakiwa kufuata?
Wadau baada ya kutafutatafuta kwenye website ya TRA hatimaye nikapata ufafanuzi,naomba...
habari members!
Nina tatizo kwenye accounti yangu ya facebook haionyesh picha nahisi kuna mahali nimeseti hovyo ila sipafahamu nimehangaika mnno hata kwakutumia device nyingine ila wapi so guys...
habari zenu wana jf!!! hivi siku hizi ni kwamba matangazo ya antivirus yapo kwenye WEBSITE YA TAIFA!!! Ni kwamba wataalam hatuna au inakuaje??? embu pita hapa The Tanzania National Website
swali...
Waungwana nimefanikiwa kudownload hii window ila imekuja na key ambayo haifanyi kazi, sasa mwenye namna ya kunikwamua hapo naombeni, au ile window 8 loader kwa specification za namna hyo, msaada...
Nimeshindwa Ku unlock cm yangu aina ya celkon A
85 ambayo nilikuwa nafungua kwa pattern. Baada ya m2 kuchezea. Inadai niingize account yangu ya google pamoja na password bt kila nikifanya hivyo...
Wakuu wote salamu zenu jamani....
Nina Camera yangu aina ya Canon imepata Mushkeli kama ifuatavyo:
1. Niki-zoom ili kupiga picha ya mbali....inatoka nyeupeeeee hakuna image ikumbukwe hapo awali...
With an initial investment of just $27 in his flagship MiniShop app, the US Department of State awarded Eric $15,000 as winner of the Apps4Africa Climate Challenge 2011. MiniShop is a...
A Basic Input/Output System (BIOS) is an electronic set of instructions that a Personal Computer (PC) uses to successfully start up. It is located on a chip on the motherboard inside of a computer...
1. Who is the Father of Computer ?Answer: Charles Babbage
2. Who is the Father of Computer Science ?
Answer: Alan Turing
3. Who is the Father of artificial intelligence?
Answer: Alan Turing
4...
A 29-year-old Tanzanian software developer has won over $300,000 in a landmark Information Technology innovation deal.The grant from the Financial Sector Deepening Trust (FSDT) was won by Mr Eric...
Wadau naomba mnijuze. Kwa sasa natumia java application. Nataka kuhama kwenda either android phone au window phone application. Naombeni kujua which is the best phone, faida na hasara ya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.