Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
KWA UFUPI "Tulikuwa tunatumia gharama kubwa! Jaribu kufikiria sasa kwa kutumia tu jiwe hili la ajabu (MadiDrop) tunalitumbukiza kwenye maji na mara moja yanakuwa safi na salama kwa kunywa. Uzuri...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nilifanya rooting kwenye hii tecno yangu yenye Os ya android,nikataka kubadili font,ikajizima na kuwaka kisha inaishia kwenye logo ya tecno na kushindwa kuendelea kuwaka,nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
824 Views
napenda kujua jamani hii kitu ni nini??? na je nnaweza kuipata toka ktk play store??? na je ina tofauti yoyote na hii app ya jamiiforums for android??? ahsanten
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa ubora na mapungufu ya simu nokia N500, kwaanaye fahamu vizuri!
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Hi guys! Naombeni msaada wa jinsi ya ku upload videos kwenye Jf pls.. Nataka nianze kuripoti matukio.
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Namba kama kuna mtu anajua bei ya mashine ya tatoo ni Tsh ngap?pls ni reply kwa meshackabra@yahoo.com kuna mtu anatak kununua.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
natumia pc aina ya HP 630 jana nimekumbana na tatizo la local disc c kujaa ghafla,yani inavyoonesha kuna mafaili yamejidublicate, kilikuwa na free space ya GB 57 out of GB 97 lakini sasa kuna free...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Za jumapili wanajamii? Ghafla chanel zote za star times zimeonekana hata kama hujalipia. Je ni kwa muda tu au ndio kuhmili ushindani wa ving'amuzi vingine?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
nisaidie nikitaka kuchukua nyimbo kwenye lap top inaniandikia.'REMOVE THE WRITE-PROTECTION.nimejarib u kutoa passward but tatzo bado liko palepale inakataa kuzikopi kwenda kwenye flash.naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nahitaji kuapdate simu yangu ya Blackbery torch 9800. Nimeunganisha kwenye PC na ninatumia modemu ya Zantel. Kila nikifuata hatua za kuapdate inaload na mwishowe inaleta message...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Wanajamvi naombeni msaada ni jinsi gani naweza kurestore nokia express music 5530....nimejaribu kuingiza *#7370# then nimeweka password ya 1-5 but imeshindikana inaniambia code error nikajaribu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamii tunashindwa tambua kuwa kuna vitu vingi kama kampuni ya goole imekuwa ikipigwa marufuku nchi nyingi kuchunguza siri za watu mpaka sasa ikiwa mshiriki na mzamini wa android.japo itakuwa siri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimaye wajanja night imerudi tena hahahahahahahaa ila wamepanda dau ni 500 sasahiv
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari za j2 wanajf! Kipindi cha nyuma nilikuwa nasoma nyuzi za watu mbalimbali zinazohusu kurudisha data zilizopotea aidha kwa kudelete kwa bahati mbaya, kupotea zenyewe ama zimepotea wakati wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
(China post) Galaxy S4 Star N9500 Smartphone 5.0" IPS Screen 1280 x 720 pixels MTK 6589 Android 4.2.1 WIFI GPS Quad core 1GBRAM-in Mobile Phones from Phones & Telecommunications on Aliexpress.com...
0 Reactions
4 Replies
933 Views
1.CONTROL CENTER AND NOTIFICATION apple wameweka setting unazozitumia mara kwa mara katikati mbele kabisa mwa screen yako,ili upate,kupata hiyo kitu itabidi uslide kutoka chini(bottom) ya screen...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf nipeni msaada namna ya kutuma maoni kwenye Tvs kupitia facebook ama twitter maana sijui kabisa namna ya kutuma maoni. Nitashukuru sana ndugu zangu.
0 Reactions
0 Replies
595 Views
0411400449 wakuu hii ni namba ya cm ya mezani au mkononi msaada plz! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nijapo na mtu mkweli akubaliki kwao lakini katika sekta ya ulinzi katika interneti kwa tanzania haipo wazi kuku fahamisha wazi ndo maana leo tuna ona siri nyingi ziki vuja ata unacho fanya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninaomba wataalamu wanaojua ukitaka kuijua samsung orijino unafanyaje make kuna mtu hapa anataka kunipiga changa la macho
0 Reactions
3 Replies
750 Views
Back
Top Bottom