Wadau heshima mbele !!
Moja kwa moja nadondokea kwenye mada,kwa kifupi nna haka ka Galaxy s3 mini tatizo ni kwamba kananizingua
siioni sehemu ku change network mfano 3G, EDGE, nk.Yaani...
Wakuu msaada tafadharini flash yangu imepata tatizo na kuandika short cut. Nikifungua inaandika hivi
There was a problem starting _WB.com
The specified module could not be found.
Kuna tatizo limetokea kwenye simu yangu wakuu, yani kila nikifungua Jamiiforums sipati picha, avatars wala kitufe cha 'like', hutokea pale nitumiapo Ucbrowser. Hili tatizo limetokea karibia mwezi...
Vodacom wansahau kwamba hii game of chance ni nafasi yao kwa kuwa wao ni provider pekee wanaoapatikana
lakini wajue wao ndio wanatupa nafasi ya kujua wizi wao unatufungua macho, ubongo, masikio...
Htc desire sio zote ambazo zinaweza kuwa rooted sababu bado hizja tolewa so kuwen wapole vitu viakuja.stay up date with costerntine r peter on facebook
Naomba msaada nina laptop ilikuja na OS Vista Home Basic, ili-corrupt nika-reinstall Vista home basic nikitumia key product iliyo bandikwa chini ya laptop yenyewe. cha ajabu inasema activate...
hii simu ni mpya, nikiweka line nikipga inasema NOT REGISTERED ON NETWORK, nimefanya manual configuration ya internet pia imegoma kufunguka. Msaada wenu plz tatzo ni nini?
hellow wanajamvi. Nina bb 8310 version 4.5. Os ambayo haisupport whatsapp mpaka ku-upgrade kwenda v.4.6.
Nimejaribu kuhack downloader na naweza kudownload hiyo prog but haifunction!
Ombi:kama...
Ndugu wa wapenzi nimeamua kurudi kutokana na watu wengi kunishauri nirudi nimekuwa mkombozi wa watu kwenye sekta ya ulinzi japo nime wa saidia sana karikoo dar es salaam maswala ya wizi.lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.