Leo ni bajeti ya 2013/2014
Bajeti hii ndio itatoa mwelekeo wa serikali kwa miezi kumi na mbili ijayo lakini hata kabla haijatangaZwa tayari habari zimeshaenea kuwa mwananchi wa kawaida bd...
Ni kwa ajili ya games na program za kuidit picha. Hapa ilipo sasa hivi ina capacity ya GPU 128MB. Sasa kuna baadhi ya games hazichezi. Naomba mnipe ujuzi kidogo kama inawezekana kuupgrade GPU...
JUN
12
Mac Pro Mpya Yazinduliwa Kwenye WWDC
Apple wamerudi na mshindo mkubwa baada ya wengi kudhani kuwa kampuni hiyo sasa imeanza kuanguka, hasa kutokana na presha wanayoipata kutoka kampuni...
Wadau kwa mwenye kujua simu yangu aina ya Blackberry 8120 imepata tatizo,nilikuwa nadownload miziki wakati inaload ghafla ikaanza kuwa slow na busy sign ikawa inatokea mara kwa mara na...
nna hp probook ,ina tatizo la kua kama inzima mwanga na kuwaka , yaani inawenge kwnye mwanga ..inakonyezakonyeza kila mara , nikafanya kama kuigonga inatulia kwa mda then inaanza tena .. nn...
Nilipopost mara ya kwanza kuhusu mcent, wa2 wakasema napoteza muda, lakini Leo wamenitumia bureee 10000 kwenye laini yangu ya tigo jiunge hapa. Wahi sasa!
habari ya leo JF members. Naomba msaada, jinsi ya kurudisha colour ya TV wakati dvd ina play. Mwanzo ilikua na rangi vzr tu. Ila nashangaa kila cd nikiweka inaonyesha black n white.
Thanx in adv
Samahani wanajukwaa naomba kwa yeyote yule anayeifahamu hii simu ya htc legend kiundani,bei na sehemu inakopatikana iwe mpya au used.nataka niinunue hii simu.
wadau leo nilikuwa nasearch juu ya tatizo la kompyuta yangu, nikakutana na hii forum....
www.consumeractiongroup.co.uk/forum/search.php?searchid=3389663
mwanzo nilidhan nimeingia JF lakini...
Binafsi mimi ni mpenzi mkubwa wa TV zilizo chini ya IPP.Lakini pamoja na hivyo,hii Capital TV kiukweli(kwa mtazamo wangu) sijaona kama imejipanga kukidhi matarajio ya watazamaji wake.
Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.