Heshima kwenu wadau wa entertainment,,
Kama mnavyojua kampuni kubwa za electronics dunian Sony na Microsoft zote zimetangaza Flagship gaming device zao zitakuwa sokoni Holiday season this year...
Kiukweli napenda kuangalia taarifa ya habari ya star tv coz iko makini si kama upuuzi wa tbc1.naomba anaejua kuchakachua anisaidie mi npo arusha nimeona kuna jamaa wanaziona hz chanel za itv na star
Wakuu laptop yangu ya toshiba imeanza kunizingua display yaani ukiiwasha inawaka fresh ila tatizo kwenye display hakuna mwanga kabisa so naona kwa taabu maana giza tupu.
Nimejaribu option ya...
Wadau PC yangu ni Samsung, na hivi majuzi ikaanza kuniambia "copy of window is not Gebuine", sasa leo nilikuwa naactivate na setup inaitwa "Window 7 loader"...
Kilichotokea baada ya kuinstall...
Kuna mtu ka block a/c yangu ya fb. Nikajaribu ku log in inaniletea ujumbe ambao ninatakiwa kuzifahamu picha ambazo zilitagiwa kwenye wall yangu. Na mim hizo picha sizifahamu. Naomba msaada kama...
Wanajamii samahani kama swali hili litakuwa lilishaulizwa hapo mwanzo maana wengine ndiyo kwanza tuna mwaka tumejiunga na JF. Swali langu laleo nataka kufahamishwa kazi za hii tume ya Sayansi na...
naomba mnishauri jamani kati ya hizi simu mbili...galaxy ace ina camera kubwa na ina flash ila chat ina only 2 mp na haina flash lakin ina internal memory kubwa. naomba kwa wataalam mnishauri...
toka wajanja 9t iwe terminated ni mwendo wa kuhaha huku na kule, kwa aliyetumia hii bundle naomba aniambie hii unlimited yao ikoje? Au inatoa MB ngapi, isije ikawa kama utapeli wa kabaaaang!!
Wale wapenzi wa Connectify Dispatch na Hotspot PRO, Watakuwa na Sababu nyingine ya Kufarahi tena Baada ya Kuzinduliwa Software mpya inayoaminika kuwa itakuwa kivutio cha wengi Duniani Kote...
Ndugu zangu nnatumia king'amuz cha dstv nna wiki nzima channel 291 TBC1 haitoi sauti je hili tatizo ni kwangu tu na kwa mwenye clue yoyote juu ya hili tatizo!
Hii ni kwa wadau wengi walikuwa wenye dstv lakini channel ya tbc haitoi sauti, cha kufanya ni kunterchange cable nyeupe na nyekundu. Pale kwenye nyeupe weka nyekundu na kwenye nyekundu weka...
Siku zote nimekuwa nikijiuliza kwanini bongo hatuna vitu kama hivi yaani hata kenya wanatutimulia vumbi.
Inakuwaje wakenya wanakuwa wababe kwetu kila idara ilhali wataalam tunao?
HD NET STREAM...
http://live.arstechnica.com/wwdc-2013-keynote-liveblog/
Kwawale wenzangu team apple ingieni hapo mjionee vipya vijavyo kwenye Mac OSX na iOS 7
New OSX is code name Mavericks inatoka fall lakini...
poleni na shughuli za kila siku wakuu,naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu wajanja night imeisha moja kwa moja ama kuna wanaoweza kupata access! Nawasilisha!
Kwa wale wenye Guest
house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji
kusambaziwa channel tuwasiliane kwa
PM ni channel zozote uzitakazo wewe
ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu
sana. Aksanteni sana pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.