Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Rover Finds New Evidence That Ancient Mars Was HabitableBy Mike Wall | SPACE.com – 22 hrs ago Email Share391 5 Print Related Content View PhotoThe pale rock in the upper...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Wadau nahitaji kujua hizi sim za promo kutoka airtel hv zinatumia line ya airtel tu? Au naweza kuweka lina yyte. Msaada wana jamvi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama tujuavyo kuwa recycle bin ndo 'jalala' la data/documents that have been deleted from computer..swali langu ni kwamba unapo delete au ku-empty. data/documents zilizopo ndani ya recycle...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wana JF Mnaweza kunilaumu kuleta mada hii hapa ila nimeiandika kwa kua jukwaa hili linatumiwa na watu wengi na kila rika Niko na simu ya HTC deserer 8181 ila nahisi km ina virus maana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia sumsung galaxy Ace, inafungua internet kwa kasi lakini tatizo nikiingia facebook inagoma kuupload picture pia hata nikitaka kudownload inagoma.naomba mnisaidi jinsi ya kutatua hili...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndg zangu maendeleo ya kilimo,ufugaji nk, sasa tunatengeneza windmill waterpump,pamp inayovuta maji ktk visima,mito,mabwawa kwa kutumia upepo. Pia tunachimba visima virefu na vifupi,pia local...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
naombeni msaada kama kuna m2 yeyote anayejua jinsi ya kuset hii app ili kupata free net
0 Reactions
0 Replies
2K Views
waungwana je naweza kuweka picha kwenye fb bila ku upload picha ambayo nimei save maanake nikiweka inakaa link ya picha niliyo copy wala haiwezi kukaa direct je nini nifanye ili ku weka direct...
0 Reactions
0 Replies
12K Views
namobeni asi hizo code ni-keep pc angu safe!shkran!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wataalamu wa computer naombeni usaidizi kwenye hili. Nikiwasha computer nakutana na msg hii: Window could notstart up because the following file is missing or corrupt: WINDOWS\SYSTEM\ vgaoem.fon
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Habar yenu wana JF naulizia wapi nitapata mtaalam wa kudisgn website ! nahitaji sana u can PM thanx in advance
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hii kozi inapatikana wapi. Nahitaji kumpatia ndugu yangu hii knowledge kwa manufaa yake. Kwa yeyote mwenye kuijua kwa uzuri tufahamishane tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
39K Views
Leo nimdjaribu kuplay game kama vice city, pes 4, zimegoma kuplay ,nyingine zinatoa sauti tu bila picha. Zinadai ni update graphic driver. Nahijaji msaada wa jinsi ya kupdate mana mwenzenu n mgeni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
sijui kuna tatizo gani waungwana au tatizo lipo kwangu tu , na ufumbuzi unakuwaje naomba msaada au ni nje ya uwezo wetu, napata kila mara "400 bad request" nikifungua page za jamii forums hadi...
1 Reactions
3 Replies
935 Views
nikistart virual dj napata hiyo msg then inagoma kutoa sauti even if nimeplay wimbo. Naombeni mwenye kujua anixaidie. Thanks.
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Heshima kwenu wakuu,natumai mko poa Niko hapa kuwaomba msaada wa maelekezo wataalamu na wajuzi wa masuala ya ipad za aple.Iko hivi nimeletewa ipad mpya ya Aple sasa kila nikitaka kuinstall...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Smart TV, LED, LCD!, 3D LED TV! LED HDTV,. Je tofauti ya 3D na Blu Ray ni ipi? Pili Je kuna uwezekano wa kucheza muvi ya format ya 3D kutumia Deki inayocheza 3D lakini Diplay ikiwa nini LCD ya...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
vipi leo wale wa unlimited ya voda mbna nambiwa hiyo huduma imesitishwa kwa mda ni mimi tu au kwa wote wadau?
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Wapenda wakuu sana nawasalimu katika jina la Maulana Nahitaji galaxy siii bajeti yangu laki 6 Nyeupe mostly prefered Iwe inafanya kazi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wandugu mwenye key ya kaspersky 2013 naombeni msaada nimefulia Cc NasDaz Paje MziziMkavu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom