Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
code tofauti tofauti zitumikazo facebook.. Mnisaidie
0 Reactions
4 Replies
837 Views
natumia nokia X2-01, nilikuwa nikitumia whatsapp kwenye hii simu hapo kabla now nimerestore hii simu....nimejaribu kudownload tena whatsapp lakini kila nikiingiza namba ya simu inakataa ingawaje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Free application za android zinazodownloadiwa kwa sana ni pamoja na AMP-video na music player AUDIO MANAGER-locking calls,hide call,apps,pictures,videos ni nzur na ipo privacy CALL...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu nina LG C360 ni application gani nitumie ili niweze ku download Whatsapp messenger na kutumia internet kwa haraka, Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Heshima zenu wakuu,, nina nokia asha kila niki download file sizioni sijajua zinakwenda sehemu gani msaada tafadhali kwa mlio na uzoefu na nokia Natanguliza shukrani kwanza.
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Wandugu naombeni kwa wale wazoefu wa Tv,nijuzeni kuhusu UIMARA WA ILE GLASS SCREEN YA TV ZA LCDs ukilinganisha na zile tulizozoea za CRT/CHOGO. Aidha kama ni delicate sana ama strong enough to...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
blips blips nini .... hivi uko wapi nowdays?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kama mtu ana-notes za mcrsft excel na word anisaidie naumbuka jamani na nitakosa kazi! Kwa yeyote atakaenisaidia hili nitampa hata ela ya asante,nawategemea nyie wakuu! Sent from my...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
habari wanajamii., naomba msaada wa jinsi ya kuipata hiyo battery au kama kuna mdau anayo anicheki., natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wowote nitao upata
0 Reactions
0 Replies
584 Views
SMILE Communications Tanzania, a subsidiary of Johannesburg-based Smile Telecoms Holdings, said on Friday it had launched the long-term evolution (LTE) service, commonly called 4G, in Tanzania...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
habari, naomba discussion ya mawazo yenu hasa watu wa fani za IT Kuna umuhimu wa kujua programming languages nyingi (mf. C++,C, phython, perl) au kuwa na language moja ambayo utakua na ufanisi...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Naomba mwenye link ya IDM anisaidie nipakue ili na mimi niwezekufaidi naomba sana msaad wenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila nikiplay mp4 inacheza sauti tu picha hakuna. Naomba mnisaidie link niwezepata media player nyingine hata kwa kudownload. Simu yangu ni Nokia E61i. Haya wataalamu kazi kwenu.
0 Reactions
1 Replies
967 Views
waungwana hebu nipeni ushauri wenu wapi niende au nini nifanye jinsi ya kuchange wapsite yangu ya wapka.mobi na kuwa domain ya .com au vipi naweza kupata site ya .com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nime download program inaitwa INVOICE BY CLICK Hawa wenye program hii siwaelewi kabisa wameweka software yao kwenye internet lakini ukijaribu kuwasiliana nao kwa ajili ya wakuuzie hawajibu hata...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Ndugu wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu, nina Nokia n9 lakini cha kushangaza flash camera haipigi kazi hata nikijaribu ku set flash yenyewe bila automatic bado haipigi kazi Sijui...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
My working computer a customised 13 " dual core i7macbook pro (3.7GHz) with 8MB L3 cache-mid2012 with HD 2 Terabytes, ram12GB now runs these three os's: Linux Mint , Win8 Prof, OSX10.8.3 .I use...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Waungwana msaada nisaidien kuset comfiguration settings ktk cm yangu nokia x2-01, manualy.nimejariba kua acces kwa settings nilizotumiwa kampuni za Airtel na voda lkn imeshindikana.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau mm sijawahi kutumia hizi android wala windows phone natumia nokia c3 sasa hapa nna laki 2 na nusu nashindwa ninunue cm gan maana me wakusoma hvyo ningependa zaidi isome pdf na ikiwezekana m...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau naomba mnielekeze wapi niende au matandao upi nifungue jinsi ya kusoma hizi code za HTML na XHTML vile vile nasikia kuna code zinaitwa BB5 wapi nitazipata msaada tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Back
Top Bottom