Wakuu ambaye ameshanunua hii bundle ya DSTV 16500 naomba mwongozo wa chanels zilizopo..Kwenye tangazo lao wanasema 40 ila nimeperuzi kujua nizipi sijapata
Kwa muda mrefu nilikuwa natumia zantel internet na ukweli haijawahi kuniangusha sana, huwa naweka cha 20,000/=
kuna kipindi nikaweka kile cha voda cha 20,000/= , spidi ni nzuri ila kuna wakati...
Jamani ni wiki ya pili sasa kila nikiweka bandle la internet linapotea kwa haraka sana ndani ya 10minutes huwa namaliza bundle la 50mb. wakati mwingine pc yangu inakuwa slow at the maximum na...
Wakuu salam!
Rejea tittle hapo juu,
Naomba mwenye exprience ya hili tatizo, option ya ku-attach kwenye account yangu ya email address ya gmail hai-respond, na-click lakini wapi hivyo nashindwa...
Kitu kipya kimetoka cha Operamini 4.5 chenye download manager kwa zile simu zenye java na hilo limekuwa kilio cha watu wengi ambao simu zao hazina uwezo wa kuendesha opera mini 5, 6 na 7 kwa hiyo...
Habr wakuu? samahan laptop yng hutokea maneno haya "window has recovered from an unxpected shutdown" kila muda inajirestart sielew nifanye nn wakuu msaada tafadhali......
'
'
Heshima kwenu wakuu!
Ninavutiwa sana kutumia Bluetoothheadphone kwenye simu yangu ya Nokia E5.
Lakini nimejaribu kuunga nimeshindwa kwa yeyote mwenye ujuzi na hii smu anisaidie...
Kwa wale wanaotaka kubadilisha fomat mbalimbali kama za ps3 iphone ipod android dvx dvd vcd hd dvd na zingine nyingi yaani utapenda itatoa quality za simu vizuri kuliko converter nyingi...
Natumia simu ya sumsung galaxy S2 kuna mtu akipigiwa cmu kwa namba yake zinaingia kwangu halafu mwangu inaniandikia "call forwaded" huku inaita je, nawezaje kuondoa ttz hilo ili simu iwe kama mwanzo.
waungwana hebu nipeni ushauri wenu wapi niende au nini nifanye jinsi ya kuchange wapsite yangu ya wapka.mobi na kuwa domain ya .com au vipi naweza kupata site ya .com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.