Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
haya sasa........... http://www.filmy18.com/the-new-apple-iphone-trailer-t12865.html
0 Reactions
9 Replies
2K Views
za muda wadau,natumia opera-yy-85101mini5+ kwenye tecno 605 lakini inasumbua inaonesha maneno yamekatakata af hayaonekan vizuri so nini shida!
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimenunua original simu ya nokia lumia 510,tatizo ni kwamba simu hii inanisumbua ktk kukata simu baada ya kumaliza kuongea,haikubal hata kidogo,msaada wadau
0 Reactions
5 Replies
2K Views
waungwana hebu nielwesheni kuhusu mozilla na opera ipi ni bora zaidi kwani me niliingiza opera ikanisumbua sana au tatizo ilikuwa ni version?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Please help...now am using android 2.3...nataka android 4.0
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wakubwa zangu, naitaji kutengeneza page ya facebook bila ya kuwa na account ya facebook account ili niitumie kama account yangu ya facebook. mfano page ya www.facebook.com/fullsoka pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf nisaidie wap natapata betri OG ya tecno n3 kwa hapa dar
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Simu yangu ya htc nikitaka kutumia camera au video camera inazima nikiclick kwenye camara inazina halafu inawaka htc desire
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni anayejua site ntakayopata nyimbo mpya za kibongo tafadhali
0 Reactions
3 Replies
814 Views
wadau nataka kudaka moja kati ya hzo cm naombeni ushauri ipi itanifaa zaidi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
WanaJF, Natafuta computer aina ya lenovo think pad mpya ma used kwa bei nzuri mwenye nayo tuwasiliane. Kama ni used na ipo kwenye hali nzuri ntatoa laki saba, hii itategemea na hali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, nimeletewa new version ya Internet browser kwenye Nokia yangu Asha 200, lakini baada ya ku'update nikifungua inaniambia 'conflicting application' nikibofya kuonesha hzo conflicting apps...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi narusha picha kwenye cable kwa kutumia Amplifire na Booster .Naomba kuelimishwa kuhusu FAIBA Siielewi kabisa ikiwa ni pamoja vifaa vyote vinavyohusika ikiwezekana na gharama. Nataka kubadili...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
5-better multitasking uwezo wa ku switch kutoka app moja mpk nyingine instantly 4.automatic update app ikitoka update yake kama ni kufix bug au perfomance improvement basi yenyewe tu ijiupdate...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu Naomba kuuliza Je naweza kupata Ant virus ya BlackBerry. Curve 8520 maana nimetafuta kwenye App store sjaiona asanteni sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naombeni mnijuze bei ya ideos google na ya techno n3 .
0 Reactions
8 Replies
2K Views
guys nina 8GB imation flash!! Nilikua nahamisha file la 1.9GB from PC, at the middle of that ikaleta hiyo error, since that haingizi data wala kutoa, kila ukijaribu inaleta hiyo error, pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada wenu wakuu screen yangu.inadisplay marangi rangi tu na blur afu picha inaonekana kwa nyuma ya hayo marangi. nimejaribu kugoogle sijafanikiwa natumia toshiba satellite c850
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Habari zenu, Naomba mwenye keys za windows 7 anisaidie. Shukran.
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Front page | Sitemap | Fun | Unlock | Miscellaneous | Free SIM Unlock Nokia | Free SIM Unlock Nokia with Code Calculator | Free SIM Unlock Nokia online...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom