wandugu habari, naombeni mnipe ushauri juu ya hayo magari apo juu kabla sjanunua. ushauri wenu nautegemea sana katika kutafuta gari ya kuazia maisha yaani gari yangu ya kwanza. hata kama kuna...
Naombeni mawazo yenu hasa kwa wale wenye uzoefu na mkoa wa Tabora. Mtandao upi ni mzuri zaidi kwa matumizi ya Internet kwa njia ya Modem kati ya Vodacom na Airtel na je, zote zina 3G huku Tabora...
Wakuu salama ? naomba msaada nimenunua simu mpya Samsung galaxy S6102 Duos, sijui namna ya ku-forward message kwenda kwa mtu mwingine, pia application zingine zaidi, mm niko Kariakoo kama pana...
Salaam Wakuu, its my hope everyone and everything is fine.. Tatizo langu wakuu kubwa linalonikabili ni kama ifuatavyo,Natumia Windows 8 Pro kwa pc yangu sasa kuna software ilizingua nikajaribu...
wakubwa nilikuwa na Modem ya Zantel ambayo haitumii Line kitambo kidogo sasa nimeirudia nimesahau jinsi ya kujiunga vifurushi vyao vya Internet kumbuka Modem yangu haina Line
Habari zenu wadau, poleni na shughuli za kila siku za kulisukuma gurudumu linalomzonga kila mmoja (maisha)
Issue yangu kubwa ni kwa yeyote anaejua au kufahamu namna au jinsi ya kuJailBreak...
habari vipi ndugu zangu wa jamii fm ninawaombeni msaada wa kunijulisha memory card za psp nitazipata wapi?kwa hapa dar.kwenye momory imeandikwa (MEMORY STICK PRO DUO)
Heshima mbele wana jamvi !!
Wadau jana nimedondosha Blackberry 9900,kama kuna mtu ana idea jinsi ya kuiblock ili mtu mwingine asiweze kuitumia
please tupia maujuzi hapa.
Yaani bora tukose wote !!
I own a Nokia Asha 302, although in the specifications it is listed as able to play only mp4,wmv,h263 and h264, i have been able to play avi files from moviesmobile, does this mean that asha 302...
Identification Differences
One simple way to externally identify the iPhone 4S and iPhone 4 models, as well as all other iPhone models, is by the model number printed in small type on the back...
Kuna hizi simu za tigo mi w100 double line upande mmoja wa line lazima utumie line ya tigo na upande wa pili unaweza tumia line yoyote, wcdma gsm. Nahitaji ku unlock ili iweze kufanya kazi ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.