Pamoja na kuisifia sana leo imenizingua.
Jana usiku niliitumia kama midem ( WI-FI) lakini leo asubuhi inagoma na inawekea betri nyekundu na asilimia 0.Nimejaribu kuchaji na kuwasha lakini bado...
jamani kuna utaalamu wowote naweza kuufanya ili niweze kuokoa documents zangu maana kila nikichomeka external hardrive yangu inasema the dic needs to be formatted.
Kampuni ya Viber Media Inc amabayo imekuwa ikitoa huduma ya kupiga simu na kutuma au kupokea ujumbe mfupi wa maandishi kwa kutumia application yao ya Viber sasa wamepiga hatua na kuamua kuzindua...
wakuu napenda xana kutumia IDM kushusha mizigo midogo midogo kama fonts, bushes, music n.k, but kila nikiinstall IDM na kuinset serial zake baada ya wiki chache inadai tena serial KIUKWELI I DON...
Salaam wakuu
nahitaji ku-delete facebook a/c ila hii thread ilishawekwa hapa JF na chrisman jinsi ya ku-delete fb a/c akatupia na link inayokupeleka kwenye page ya "permanently delete account"...
Salaam wakuu
nahitaji ku-delete facebook a/c ila hii thread ilishawekwa hapa JF na chrisman akatupia na link inayokupeleka kwenye page ya "permanently delete account" kwenye facebook then...
Jamani natumai hamjambo,
Kuna wimbi kubwa la vijana wa kiume limeibuka, linafanya mchezo wa kubip au kupiga namba za watu ovyo na wakikuta ni msicha basi wanaendele na usumbufu wao,watapiga iwe...
Wakuu habari za majukumu
natumaini wote wazima,ila ambao kidogo kiafya hawapo vizuri tuwaombee kwa mungu wapone mapema,
ombi langu kuu naomba mwenye kujua manual setting za internet...
Wataalamu naombeni msaada tafadhali kuna namba nataka kuiblock lakini nimeshindwa nina E5 na N8 zote nimeshindwa msaada tafadhali wakuu
Shukrani in advance
wadau wa jf hebu nielewesheni juzi wakati na login katika facebook nimekuta msg ambazo cjazituma mimi SWALI:jee mtu anaweza kuhack account yako bila ya ku change pasword kama jawabu ni ndio hebu...
Wakuu, nilikua naomba kujua jinsi gani mtu unaweza kutengeneza video DVD ya collection kwa kutumia format ya DIVX au AVI ikiwa pamoja na Title na Root menu. Au kwa aliye na ufahamu wa kuweka movie...
Natumia apps ya jamii forum apa kwenye cm yangu htc wildfire lakini inakataa inasema the appication has stopped unexpectedly... nini tatizo yan sienjoy JF at ol
What is an IP address?
Your IP address is the address that identifies your computer on a network, to any application (such as a web browser) that uses the Internet communications protocol...
wadau wa jf hebu nielewesheni juzi baada ya ku login katika account yangu ya facebook nimekuta replay kibao baada ya kuangalia sent messege nakuta messege kibao ambazo cjazituma mimi SWALI:jee mtu...
wakuu naomba msaada wenu lap top yangu aina ya dell inspiron n 5050 haitaki kuunga wireless internet wala kwa cable
napata tabu sana kwani ofisini kuna wireless internet na cable pia inapatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.