naamini mnapita mahala hapa na kusoma. Tigo wamekuwa na mtindo wao wa huduma kama kaban'g, extrem etc, ukijiunga na huduma hiyo unajikuta hatasalio lako lilo kuwepo lina pungua kadri mda unavozidi...
Hack Trial Software
If you have software that has the trial period and you want to use it forever without paying any registration fees, than there is no complex hacking required or you dont...
Heshima mbele,
1; Tafadhali msaada nahitaji kuedit jina kwenye e-mail address ya gmail.
2; Kuanzisha group kupitia e-mail hiyo.
Msaada tafadhali namna ya kunani na hiyo maneno.
wakuu nilikuwa najaribu kubadili user name,then nikafanikiwa but files nilizo ziserve kabla zimeishia na ile username ya kwanza na sikumbuki a password yake,please mwaweza nielekeza how to log in...
Nina laptop ya Dell, Latitude D 531. Hii laptop ina matatizo ya keyboard. Nataka kuingia kwenye Bios nakutana na password. Nitafanyaje niweze kui-disable hii password. Jamaa aliyenipatia hii...
Habar wanajamii nahitaji msaada wenu jamani kuna computer moja ni desktop compaq tatizo hii mashine ukiwasha inaboot vizuri then ina kuandikia going to sleep na taa ya kwenye monitor inabadilika...
Hello
Du mm nimeamia basi la blue ghafla
make haka ka basi kakubundika sijui
mabundi walimaliza bandwidth zote jana
usiku au nn?
Anybody experiencing same Technical Problem
Wataalam jamani nna maswali mawili matata,naweza kupata nilesat 201'W kwa dish la ft 6 na strong srt 4653x hapa dar?kuna uhusiano gani kati ya lnb skew au tilt na dish size?kama ntakuwa nimekosea...
Facebook imefuata mkondo Twitter kwa
kuanzisha akaunti na kurasa zilizothibitishwa (verified pages/
accounts) ili kuwawezesha watu mashuhuri kuthibitisha akaunti akaunti na fan page zao...
Habari wana jukwaa la Tech! Nina Camera Digital Sony Cyber - Short. Kila nikiunganisha na USB cable kwenye Pc inakataa kusoma kabisa picha zilizokuwa kwenye Memory iliyoko kwenye Camera...
With the Samsung Galaxy S4 now out of the
way the door has been thrown open for the
Korean firm's other high-end smartphone to
get a reboot in the form of the Samsung
Galaxy Note 3.
Rumours...
habari, naomba msaada nina movie nyingi kwenye PC lakini chache ndo zinacheza kwenye deck ya tv yangu. Nauliza ni issue ya deck yangu au kuna aina za format za movie hazichezi kwenye deck...
Ni siku ya tatu leo sipati huduma pamoja na kulipia kwa wakati ,ukipiga simu sehemu ya huduma kwa wateja hawapokei na ukituma taarifa kwenye ukurasa wao kwenye FB hawajibu,wanachagua ni majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.