Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
waungwana hebu nielewesheni marafiki zangu wengi wanani invite katika facebook for USSD ila nikijaribu mimi huaga haikubali cjui ni network ya zantel huwa haissupport tu au ni vp alaf kwa wale...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Wakuu ninaomba msaada,natumia iPhone 3G,kila ikifika jioni inastuck mara kwa mara hadi nakosa raha,sasa sijui ndo inaelekea kufa au kunatatizo la kutatua???pia nimegundua inatokea kuanzia saa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Inauzwaje wakuu hiyoo screen,yangu imevunjika
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAtu wamejaa kwenye uzinduzi wa Xbox one.... Naona microsoft wamefanya kazi nzuri. Kitu hiki kinakuja november au december mlimani city somewhere. Bei wameweka $499 kwa US sasa huku kwetu sijui...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naona Opera Min ni nzuri kwa matumizi lakini tattizo ni kuwa nikidowndola files unaiona inapodownload lakini ikimaliza sijui inaenda wapi. Naomba msaada wa kiufundi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TCRA WANAJIBU MASWALI MBALIMBALI NA KUTOA UFAFANUZI WA MAMBO MENGI PAMOJA NA HAKI ZAKO ZA MSINGI kama za visimbuzi, gharama za simu na mengineyo. Haya yote utayapata baada ya kulike page yao fb...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Asallam alaykhum ndugu zangu,jamani vp wenzangu,siipati tbc kabisaa,natumia eurostar 6ft dish,strong receiver SRT 4653X,nyingine zoote nazipata,kuna nn wenzangu na nn nifanye
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau, Kama wewe ni software developer, this might be of interest to you. For more information, visit their website Masoko Challenge | A start-up competition to use ICT in service of Tanzanian...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna files kila nikijaribu kufungua majibu access is denied nime google na kufuata njia zote lakini nimeshidwa kufungua wadau wa it please ushauri wa njia ya ku solve hii issue !!!! Naomba...
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Original Article (External link) Samsung Goes Water Resistant With Samsung Galaxy S4 Active. Samsung one of the Android giant in market has now come up to compete with Motorola Defy and Sony...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
waungwana hebu nieleweshe hili neno poke katika facebook huwaga linamaanisha nini na mtu akiku poke alaf ndiyo inakuwaje?
0 Reactions
6 Replies
27K Views
Idm
Wadau mwenye key za idm naomba anisaidie..
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Heshima kwenu Wakuu Jamvini! Natumia simu aina ya Nokia E5. Kama simu sasa simu yangu kila nijaribu kucheza video kwenye youtube inaniletea ujube huu;- 400. That's an erro. Your client has...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari za majukumu wana jamvi kiukweli nina tatizo hapa naombeni msaada wenu. kila nikiwasha laptop yang ina nambia activate window sasa sijui pakuanzia maana kuna muda nilijaribu kuna stage...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nna hizo software zote mbili dreamweaver cs6 na photoshop cs5. kuna ishu moja nataka kufanya ya kutengeneza kitu kama magazine hivi..kabla ya hapo nilikuwa nikitumia sana Fireworks kwa designing...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau natumia dell tower-desktop ina hard disk mbili kiila moja ina gb 40, ina ram 1.25 gb, proccesor 2.79 natumia window xp.. tatizo mara nyiingi ninapowasha inapoanza ku-load window inasizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajanvi mwenyekujua jinsi ya kutumia internet katika blackberry pasipo ulazima wa vifurushi.yaani nitumie hata bandle za cheka. Je inawezekata?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kati ya hizi nokia lumia na samsung galaxy ipi inafaa kwa matumizi.
0 Reactions
3 Replies
972 Views
waungwana hebu nieleweshe niki search program katika www.softonic.com haikubali kudownload alaf inafail lakini site nyengine zinakubali kama kawaida
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heat-Seeking, Alien-Hunting Telescope Could Be Ready in 5 YearsBy Elizabeth Howell | SPACE.com – Fri, Jun 7, 2013 Email...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Back
Top Bottom