habar zenu wakuu naomba msaada external yangu aina ya transcend 500gb inakataa kusoma kwenye pc yangu inawaka tu taa lakini kwenye pc haionekani nime jaribu kwenda kwenye device manager lakini pc...
Nimejaribu asubuhi hii kujiunga na ikakubali.
Mabadiliko ni kuingezeka kwa gharama toka sh 200/- hadi sh 500/- lakini muda wa matumizi ni uleule. Kwakuwa ninatoka kwenda kwenye mihangaiko...
wakuu heshima mbele niko kwenye dilemma kubwa katika kununua simu ya mkononi
dilemma hiyo ni aidha kununua samsung galaxy grand duo au sony xperia p au sony xperia L (inayotumia jelly bean)...
Habari zenu jaman...Mimi nina simu aina ya HTC wildfire A3333, na nimejaribu kuconnect internet imekataa,ila nmekuja kugundua sina settings zake...
Nitashukuru sana kwa msaada wenu..
How Facebook 'Likes' Reveal Your Intimate Secrets
Do you know that your Likes on Facebook could expose intimate details about you as well as personality traits you might not want to share...
katika hii video sg 4 na iphone 5 zimeshindanishwa ipi inaweza kusurvive katika mazingira magumu,
1.zimewekwa katika maji kwa muda wa dakika 2 na zaidi,then zikawa recovered
2.zimefanyiwa...
Wanabodi habari zenu;
Natumia line ya vodacom ktk simu yangu ila sipati internet access? nimejaribu bila mafanikio kwenda "mobile network" then "internet access point" nimejaribu kufanya...
Wana Tech habari zenu;
nina samsung galaxy sIII nimesahau sreen lock na email (gmail), ila imeniletea option inasema
"If you forget your Google sign-in details, you can enter your backup PIN to...
Wakuu nimepata tatizo kwenye facebook acount yangu, toka jana nashindwa kulog in, kila nikiingiza user name na password inastuck hapohapo lakini baada ya kuhangaika kwa sasa naweza kulog in ila...
Nataka kuroot simu yangu ili niwe super user kwenye s3 yangu maana nataka edit power management sababu s3 yangu inakata sana battery
haya ndio nataka uliza
Je nikirooot simu yangu security ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.