Jamani mwenye uzoefu na hii simu bold 9700 nimejaribu kufa config..ya internet lakini iko down sana kiasi kwamba kufungua page nachukua dakika kama 2-3.Vipi ni mataizo ya hizi simu, au kuna vitu...
What's the difference between the LEDs with CRTs when it comes to viewing our Local channels and other FTA channels which aren't HD. Is there any improvement in picture Display? Cause i bought one...
habari
nina airtel modem kil nikitaka kuconnect na internet inasem kuwa port has been closed inanipa option ya kuredial kila mara nimejaribu kwa computr zaid ya mbili inasema hvyo hivyo lakni...
Heshima kwenu nyote
Wandungu nna HP proliant sever ambayo nahitaji kuiwekea Window7 ili nipate kuitumia kama machine ya kawaida ishu ni kwamba hatua zote ambazo huwa nafuata kuinstall window...
kama Kuna Mnakumbuka Kuna Mtu Alipost Kuhusu Mcent Free Air Time Referal Nika Mpinga! kwan Nilikua Naongoza kwa Mkwanja Na Hawakunitumia ! Kumbe Ni Kweli.., Ilikua N Mpaka Nichague Kias...
Wadau nashindwa kudownload files kwa device yangu hata kuingiza opera browser imekataa. Kila nikjaribu napata ujumbe "can't download windows, phone doesn't support this file type" kwa yeyote...
wadau kuna mtu yeyote aliefanikiwa kujailbreak iphone 4s yenye ios 6.1.3?? maana nimechek net so far haiwezekani na kudowngrade pia hamna hiyo option kwenye 4s!!
jamani, kwa ujanja wangu wote, sijui kutengeneza blog yangu na mimi niwe blogger, tafadhali, kama kuna mtu anaweza kunielekeza namna ya kutengeneza blogspot.com yangu, au anitengenezee ili nimlipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.