Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
computer yangu aina ya acer aspire model x3900 nikiwasha inaboot poa kabisa na vijitaa vyote vinaonyesha kuashiria kua mashine iko on lakini katika screen hakuna chochote kinachoonyesha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Most of us would agree that Internet access plays a significant role in our day-to-day lives but is it really more important than food or sleep? That apparently appears to be the case based on a...
1 Reactions
1 Replies
885 Views
Mdau naomba kama una keyboard ya toshiba yenye pande mbili tuwasiliane nitalipa
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Wadau habari zenu. Nahitaji mcbook pro yenye retina eye nchi 15, HDD iwe kuanzia 250GB RAM ianzie 2GBna kuendelea mwenye anyone interested aniPM na price,ili tuelewane.
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Wakuu naomba unlocking code ya huawei u8650 nataka niitumie lini ya vodacom
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Matatu za Kenya sasa zinatoa huduma za internate kwa abiria free. Ukipanda unatoa sim yako unaunganisha unaendele kubrowse. hii iko poa hata hapa nyumbani ikiwepo na hii folen itakuwa poa. ah,ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SA students are supercomputing champions | TechCentral
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Habari wadau leo kwenye simu Yangu sijaunganisha kifurushi cha Blackberry Lakini na shangaaa na weza kutumia free kwenye Application zote Je vipi Nyie wenzangu mnaotumia BlackBerry leo Ikoje hiii???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
🤛🏾
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nina laptop yangu ya Toshiba Satellite Pro. Before ikiwa na RAM ya 1GB haikuwa na shida for files scrowing but baadae nili-upgrade mpaka RAM ya 2GB ndipo taabu ikaanza.Haina shida ktk kuwaka/files...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
laptop yangu ilianza ka maskhara sasa imezidiwa, inajizma ghafla during window resume, ikifanikiwa ku resume hadi mwisho basi soon niki play music or video itajizima hapohapo, kwenye safe mode...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana. Napenda kujua Tz tunatumia mfumo gani wa matangazo ya tv kama PAL, NTSC etc. Tafadhali naombeni msaada kwani kuna Smart Tv moja nataka kuchukua lakini wameniambia kuwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
We have Fantastic news for you this Friday Morning. Whatsapp is now available on the Full touch Dual Sim range- Asha 305, Asha 308 and Asha 310 WhatsApp
2 Reactions
29 Replies
6K Views
ipi iko pouwa kati ya 3D max na belender?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wandugu. Kautafiti kadunchuuuuu Nlioufanya, Nimegundua kuwa Smile Communication Ndio wanaoongoza kwa sasa hapa Bongo kwa Internet yenye Speed kali. Nilichukua Net zaidi ya 4 na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nmeingiza data kwenye spss version 15.0 katika windows 7 bit 32 laptop ya DELL D610. Nkiisevu hilo file halafu nikalifungua yaani halifunguki inakuja meseji hii, the client software could not...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI ZENU WAKUU NATUMAINI WOTE MU WAZIMA,NINAOMBA MSAADA WA MAWAZO KWA YEYOTE YULE ANAYEFAHAMU HAYA MAMBO YA KUNUNUA VITU ONLINE,NI KWAMA NIMENUNUA DC ADAPTER KWA AJILI YA LAPTOP YANGU KUPITIA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za jioni wakuu.? Tafadhali naomba kwa yeyoye anayejua kuhusu ubora na matatizo ya laptop aina ya acer anijuze, maana nategemea kuimiliki hv karibuni na sina uzoefu nazo. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
21 Replies
9K Views
kwa wenye utaalamu na min laptops,nimefanya installation ya windows 8 kwa kutumia flash disk,ila kuna mafail yanayoonekana kama windows old,je nikiyafuta yanaweza kuleta hatari ktk current...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Niaje wakuu, tatizo kuhusu IDM ninayotumia inahusiana na network problem (ninavyohisi) sababu natumia moderm ya voda ila naweka naweza kutumia na lain tofauti coz natumia Nokia Pc Suit kuniwezesha...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Back
Top Bottom