wana jamvi msaada tafadhali, nina s2 ambayo imeanguka na kupasuka kioo na ukiwasha huoni kitu zaidi ya mwanga kwenye button ya home. Je naweza pata display na kioo chake kwa sh.ngapi? Wapi?
Wadau heshima mbele !!
Bila kupoteza muda niende kwenye mada moja kwa moja,naomba kujuzwa kwa mwenye uzoefu na haya magari ya mitsubishi Airtrek.
Katika peruzi peruzi mtandaoni nimefanikiwa kuiona...
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu video call ya direct from sim contacts(bila kutumia apps kama skype, tango, viber, wechat) inapatikana katika mitandao gan tz? Na lazma kuwe na coverage ya 3G...
habarini wadau je naweza kudownload application kwenye simu ya os ya android then hzo application nika zisave.kwenye sd card na cyo internal space ya sinu asanteni sna
If Google Drive, YouTube, chat--even productivity apps--are costing you money and productivity, it's time to give them the axe.
Whether employee or employer, the fact is we are all easily...
Habari wanajukwaa,
Kama title inavyojieleza, kama kuna mtu yoyote amekwishatumia simu hii anijuze, hasa vitu kama: Utunzaji wa charge na speed yake kwenye net, nk.
Nimeangalia specifications...
Ukitaka kuinyima nchi maendeo, basi wanyime watu wale maarifa na ukitaka kuipa nchi maendeleo basi wape watu wake maarifa. Nchi yenye watu wenye maarifa, sio tu wataweza kutumia maarifa yao...
nimeinstall driver ya usb camera then inasoma kama vile nimeconnect device.. Kuweka modem haidetect laini.. natumia antivirus ya AvG.. Na katika firewall inasoma devices n printers disabled...
Habari za asubuhi wanajavini.
Mimi nahitaji STRONG SETELLITE RECEIVER ambayo ni MPG4, HD na yenye HDMi. Kwa ambaye anafahamu duka linalo uza aina hii ya receiver kwa hapa dar anielekeze. Asanteni...
Tovuti hii ya Joomla Afrika ya Mashariki imeanzishwa ili kuwapatia jukwaa la majadiliano, elimu na maarifa juu ya Joomla kwa watumiaji wake kutoka ukanda huu. Neno Joomla! limetokana na neno la...
wadau habari,
natumia simu tecno t605 kana uwezo wakuonyesha video kwa youtube tatizo inazingua haifiki mbali inakata Ingawaje mara chache inaweza kuwa fresh had mwisho,so tatizo ninini network...
wadau,sikuwepo jukwaa hili kwa muda mrefu sijui kama kuna thread yenye ninachiokihitaji but nimejaribu kuangalia thread zilizopita sijaona yenye office 2013, msaada pls mwenye nayo au link...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.