Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013.
Kumbuka nafasi ni moja tu...
wadau nimefunga ku band mbele ya c band ya local channel naomben frequency na symbol rate na satelite pia ya channel ninazoweza pata kwa position hyo natumia media com 930+
Ndugu zangu kuanzia feb 10 kifurushi cha 400mb kitafutwa rasmi na kuanzishwa kipya cha 500mb kwa TShs 3500 na kitatumika kwa siku 10 tu. Najiuliza lengo la mkongo wa taifa ni kupunguza gharama za...
Habari zenu wakuu?kuna hii browser Torch imekaa poa ukiwa youtube unadownload moja kwa moja na ku save kwenye computer yako hauhitaji software ya kudownload kutoka youtube pia ina torrent moja kwa...
Wadau,
Kila ninapopiga simu kutumia line ya Tigo kuna meseji hii inatokea kabla ya kuunganishwa: "Conditional forwarding activated". Ni zaidi ya miezi miwili au mitatu sasa tangu meseji hii ianze...
wakuu kama kawaida sisi wengine tupo mikoani, na huku simu kama htc kuzipata ni nadra sana...nataka mnieleze nitapata wapi htc Desire c na desire x naamini hizi hazizidi laki tano..kama kutakua na...
19/03/2013
Teknolojia inaelekea kwenye gajeti za kuvaa, miongoni mwa gajeti hizo Saa ya Pebble ni saa ya kimtindo. Ni saa inalenga wana-teknolojia kama watumiaji wake. Saa hii sio tu...
19/03/2013
Teknolojia huwa na mwenendo wa kuchukua mkondo mithili mawimbi baharini yanavyokuwa na muelekeo mmoja kwa kila wakati fulani. Kwa sasa gajeti za kuvaa (wearable tech) ndio mkondo mpya...
Wana Jf wenzangu,umri kidogo umenipita nakaribia miaka 50 sasa,nimebahatika kupata zawadi kiji-Laptop na sina taaluma ya kutosha zaidi ya kufungua Fb na E-mail,huwa najisikia unyonge sana...
Nikiiweka kwenye simu yangu na zinginezo za marafiki zangu inakuwa katika kiholanzi.Nimejaribu kuweka line za airtel za wenzangu kwenye simu yangu,lugha inakuwa english bila matatizo.Sijui ina...
Je wapi kuna mtu mbunifu wa techologia hata ya kukopi kwa wazungu na hana msaada ?
tuwasiliane kwa email nnaxee@yahoo.com
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Imekuwa inatokea mara kwa mara kwa hivi ving'amuzi vya Zuku kila mvua inyeshapo hasa iwe na upepo /radi au mvua kubwa basi vinakuwa ni kukwama hadi basi, ni kama upo disco ambapo DJ ana scratch Cd...
Habari za kazi watanzania tunaoitakia mema nchi yetu kiujumla.
Napenda kusema yafuatayo kuhusiana na mjadala wa tukio hili la kipropaganda la kutekwa na kuteswa bwana kabanda.
Nimekuwa napenda...
Habari zenu wakuu,naombeni msaada jamani hata wa kimawazo pc yangu imepatwa na tatizo la ajabu,ni kwamba ukiwasha ikija sehemu ya kulog in ukitaka kutype password mouse na keybord vyote havifanyi...
Habari,
Ninapokua natumia PC (DELL) ghafla kila kitu kinapotea then yanakuja maandishi( preparing to configure windows.. Do not turn off your computer) tatizo ni nini na nafwata njia sahihi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.