Natengeneza website kutumia drupal, itakuwa na videos ndani yake na naziupload kutoka kwenye server (sio you tube,vimeo etc) Nimeshainstall module zote za kuupload na kuonyesha video na...
Wadau tatizo ni service providers wetu au ni simu za Blackberry zinasumbua kwenye internet,maana haipiti siku 2 au 3 utaambiwa kuna tatizo la mtandao,mwenye kujua atujuze bana ikiwezekana tuachane...
hey friends,,, kuna hii windows VERSION mpya windows 7 X4 NAIONA IME2LIA
HEB ICHEKI HAPAWindows 7 X4 (New Edition Jan 2013) x86 Full Activated
ngoja niitest mm kwnza thn ntaleta feedback...
Natumia simu ya Tecno N3,je naweza kuangalia chanels zilizopo kwenye Dstv kwani nimeinstall apps ya Dstv nikifungua inaniambia com.problem see service provider,pili bluetooth ninapo pair na simu...
Katika sehemu hii ya pili tutazungumzia koti linalovalishwa kwenye Android ambayo hutolewa na kutumika kwenye simu za High Technology Computers (HTC). Toleo jipya kabisa ni lile lililotumika...
i am new to php scripting.I have created a login page. but all other registered users are accessing only one member access page. I want to make a script that will allow members to login to their...
Wataalam nijuzeni hii kitu,kwenye hizi move za kijasusi(e.g XIII the conspiracy) uwa anaonyeshwa mtu(hacker) akiinglia system za watu wengine kisha wenyewe wanajua na kumfata exactly where he/she...
1.Inawaka taa ya njano tu.
2. Ikikaa masaa mengi inawaka lakini feni inayoelekea ya
Heatsink inazunguka kwa spidi kali hatimaye inazima.
3. Ikikaa siku siku nzima wakati mwingine huwa inakubali...
habari wakuu,heshima mbele wana gadget!
naomba kujuzwa namna ya kublock matangazo ya biashara yanayoingia ktk account yangu ya gmail.matangazo hayo yanatumwa na google group moja nilijiunga nayo...
Wadau naomba ushauri mana nimenunua laptop aina ya apple mackbook nikaambia kuwa siga kubwa za laptop hiz ni kuwa haziingii virus na nikashawishika kununua nikikwepa adha ya ku-update antivirus...
Mimi nina verizon BlackBerry ilikuwa na matatatizo ya fuatayo Moja nilikuwa siwezi kuulizia salio nikiwa namaana ya kutumia key hizi *102#au kuingiza pesa kwakutumia key hizi *104# nimepata...
kwanza natanguliza shukran zangu kwa wanajamvi woote wenye moyo wa kutusaidia kimawazo na kielim.
mm nifundi umeme wa magari kutokana na magari ya sasa kuwa yamekaa kidigital [technologia] zaidi...
wadau meweka memory card ya 2 GB kwenye simu nokia asha 303...lakini simu inakua nzito na inafanya kazi taratibu mno eg kufungua files hata kwenye kutumia internet...nini tatizo?na nifanyeje...
Habari zenu Waungwana.
Nahitaji kununua Photocopy Machine na Printer kwa ajili ya biashara ya stationary.
Naomba mnisaidie, ni aina gani ya vifaa hivi ni bora na Imara kwa kufanyia biashara hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.