Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari hili tatizo la laptop yangu kuzima mara kwa mara linasababishwa na nini unatype inazima yenyewe na hdd haijajaa nini tatizo wakuu wenye ujuzi anisaidie fen inazunguka inaweza ikawa overheat...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nitumie njia gani ili niweze kuzidownload hizi video PHP and MySQL 24-Hour Trainer - Wrox
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani naomba msaada ntapata wapi spare za iphone 3gs kwa bei nzuri?? nataka kioo na speaker
0 Reactions
2 Replies
1K Views
16/03/2013 "Makoti" ya Android: Sehemu ya 1 Sifa kubwa ya Android ni kuibadili upendavyo. Watengeneza simu wa kampuni kubwa huivalisha OS ya Android "koti" ili kuitofautisha na Android...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau JF, ni siku nyingi sasa tangu nimesikia hii "acronym" IPP. Je, inasimama badala ya maneno gani, namaanisha kirefu chake. Naomba mwenye ufahamu anijuze. Asanteni sana.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Heshima yenu wakuu. Natumia Firefox katika kuingia mtandaoni lakini tangu Fonts naona zimekuwa ndogo sana kiasi kwamba nashindwa kusoma. Naomba msaada wa kuongeza font size kutoka kwa yeyote...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Marais wa Tanzania na Teknolojia Sisi katika Gajetek siasa si mchezo wetu, sisi na gajeti na gajeti na sisi. Lakini leo katika kucheza na gajeti zeetu tukaamua kufanya maongezi na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
siku kadhaa zilizopita nilaomba mssada kuhusu error msg chini kwenye phpmyadmin mimi kutokana na ugeni wangu wa database nilidhani ni tataizo kumbe sio tatizo. ila pia ukitaka kuitoa inawezekana...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
hivi hawa jamaa wanatoa wapi hela wakati ukiangalia hata wateja hawapo wengi kwa kwel wananishangaza
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wadau naomba msaada sumtime nikiwasha laptop yangu hasa hasa ninapokuwa nimeweka modem au flash kipindi nawasha.......the niki remove flash au modem kama ipo inawaka as usual.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Samahani wana JF hivi mawakala wa bidhaa za apple kama iPhones, iPod nk kwa Dar nitawapata sehemu gani?.....
0 Reactions
12 Replies
2K Views
(CNN) --An Apple product may help keep the doctor away in Tanzania. In a discovery that provides doctors in remote areas with an alternative, scientists recently created a microscope using an...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Samsung Galaxy S 4 vs. iPhone 5 vs. HTC One vs. Nokia Lumia 920 Galaxy S 4 iPhone 5 HTC One Lumia 920 Screen Size 5 inches 4 inches 4.65 inches 4.5 inches Resolution 1920x1080...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau nahitaji msaada kidogo kama nilivyonena hapo juu.Ninatumia Dell Latitude E5420 ina sehemu ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuunganisha iyo line ili nitumie kwa internet nimeshindwa,msaada...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tuna organization ambayo itaanza fanya kazi hivi karibuni. Nimeamua kutengeneza just a simple website kwa ajili ya organization. nimetumia free hosting ila nkimaliza i build ntalipia kabisa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
If you visit a cyber cafe and find find any black pin attached to the CPU as shown in the picture, do not use that system. This pin is actually a connection which saves all your data you enter in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau' naomba msaada wenu kuna zuku imewekwa hapa ndani mpya kila ukibonyeza inaomba password. nisaidieni. au inaanfika service is currently scrambled. nifanyeje wadau maana mawakala ninaoongea...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Naomba kujua ntaipata kwa sh.ngapi maana nimeikalia simu yangu jana usiku na imevujia naanza kuwa kama mgonjwa kukaa mbali na taarifa kiganjani!
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Wakuu heshima iwe kwenu,Kila ninapojaribu kuinstall application yoyote kutoka Play Store inagoma inaniandikia ujumbe huu,"WhatsApp Messenger" could note be downloaded due to an error(403)...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Mambo kadhaa muhimu yamejitokeza baada ya uzinduzi wa simu mpya ya Samsung. Tutazungumziamuelekeo wa habari zinazoanzia Marekani dhidi ya kampuni ya Samsung. Kampuni ambayo inafanya mauzo makubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom